wewe nani kakwambia tayari wametoa majina ya watu waliopita au wewe ndo umetumiwa barua peke yako acha kututia shaka bana au nyie ndo watoto wa mapedeshee wakubwa huko ofsin ss tunafatilia kwa karibu nahakuna taarifa yoyote ya majina kutoka kaka wewe umetoa wapi habari hz
Si mtaripoti Jumatatu jamani! Kama hukuielewa hiyo barua nambie utumiwe another copy maana naona umechanganywa na hivyo vikilo six.
aya inspector kishindo
Calyx nasikia umefanya sherehe. HUAMINI KAMA KWELI UMEPATA AJIRA. Conguraturation
Konstebo na masajin bado tupo gizan wenzetu mnaongelea hizo kilo zenu mnatuumiza
Aswaaaaaaa
Jaman wenye taarifa kuhusu kuitwa kwenye usaili na wizara ya afya na ustawi wa jamii anijuze. Ni miez sasa imepita tangu watoe post zaid ya hamsin. Ikiwemo post za walfare, env.health, clinical oficer Natanguliza shukran
hahaha bwana kishindo,mi nasubilia ajira,bado npo mtaani insp. KISHINDO