Dr.philosophy
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 122
- 27
wakuu nauliza kama kuna MTU mwenye two kachagiliwa BAED udom mana daah mimi nimeomba hyo koz udom nimetemwa
Bachelor of Arts with Education
mimi pia sijapata sahivi ukingia kwenye profile ako inakuandikia nnBachelor of Arts with Education
mimi pia sijapata sahivi ukingia kwenye profile ako inakuandikia nn
wananiambia cjachaguliwa nijaribu round ya pili.mimi pia sijapata sahivi ukingia kwenye profile ako inakuandikia nn
sawa mkuu em kama unawza kuscreenshot nione maana me profile angu hata siielewii afu umepiga comb gaan mkuu tushahuruane hapa round ya pili tusikosewananiambia cjachaguliwa nijaribu round ya pili.
UDOM second selection tayar wanaruhusu ku-apply?? Au tarehe bado??wananiambia cjachaguliwa nijaribu round ya pili.
ukingia account ako wanakuletea ujumbee gaanUDOM second selection tayar wanaruhusu ku-apply?? Au tarehe bado??
Mi Udom round ya1. Sikuomba ndo nataka niombe kwenye hii second selectionukingia account ako wanakuletea ujumbee gaan
kesho ndo inaaza kua na subiraMi Udom round ya1. Sikuomba ndo nataka niombe kwenye hii second selection
Poa. Na ww ulikosa round ya kwanzakesho ndo inaaza kua na subira
Kweny website ya chuo husikaHivi walio chaguliwa majina yanapatikana wapi?
Nimekosa round ya kwanza nategemea hii ya pili nijaribu tenaPoa. Na ww ulikosa round ya kwanza
PoaNimekosa round ya kwanza nategemea hii ya pili nijaribu tena
Yes, namimi mnisaidie majina hayo.Hivi walio chaguliwa majina yanapatikana wapi?
me nilipga hgl mkuu hyo frofile ntaiscreen afu nkutumie ngoja kdgo mana net inanizngus nashindwa Ku log in kwnye akaunt yngusawa mkuu em kama unawza kuscreenshot nione maana me profile angu hata siielewii afu umepiga comb gaan mkuu tushahuruane hapa round ya pili tusikose
Yes, namimi mnisaidie majina hayo.
Yes, namimi mnisaidie majina hayo.
ingia tu kwnye akaunt yko utaonaYes, namimi mnisaidie majina hayo.