Waliooa, naombeni msaada

Ongea nae mwambie options ni mbili na uwe serious

1. Uongeze mke/umuache

2.Utafute mchepuko

Mwanaume baada ya siku ngum inabidi uwe na uhakika wa kupata tulizo jua likizama, unaishi na mwanamke kama jiwe bhana, yafaa nn sasa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanaume wanateseka nyieeee hadi huruma,

raha ya ndoa muwe na chemistry bhana acha weee
 
Kwan wewe kabila gani mkuu?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mwachee akaolewe na wasabato wenzake!!!
 
Inaonesha umemuachia uongozi yeye.
rudia uongozi wako na ujasiri wako ufaidi ndoa yako.
 
Vile nabembeleza mke wangu kutoka JF anipe sex kwani kwenye simu yake ana mitandao ya kijamii zaidi ya 19 na muda wote ni busy kuchat😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…