Nilinunua modem ya Tigo hivi karibuni. Hapo juzi ilikata ghafla na tangu hapo inakataa kuconnect, nimewauliza Tigo wanadai wapo kwenye marekebisho ya mitambo lakini naona siku zinakata tu hivyo wenye hizi modem naomba mniambie kama zenu zinaconnect.
nimenunua inapiga vyema ila nadhani mtandao una matatizo maana ukiconnect inaenda kisha inaacha mpaka udisconnect kisha uconnect tena. ila ukiweka line ya mtandao mwingine hakuna tatizo kama hilo