Walionivutia JF 2015, Hii ni 10 bora yangu.

Afande Nyati

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
2,385
1,414
Naweza sema kuna great thinkers wengi sana humu wenye vitu adimu na hoja zenye mashiko, wako wengi kwa kweli walionivutia mwaka huu tunaoumaliza 2015, lakini hawa ni 10 kati ya hao wengi.

10. Sport's lady @everlink
9. @lizabon
8. @faizafox
7. @Watu8
6. @Nguruvi3
5. @Wacha1
4. @Kichuguu
3. @KikulachoChako
2. @Chief-Mkwawa
1. Huyu namwita mtaalamu wa ghaibu @mshanajr.
 
1.chief mkwawa,2.mshana jr,3.ibilisi,4.mahanju,5.singidadodoma,6.songea,7.mohamed said,8.okwi boban sunzu,9.scope,10.BIG SHOW.
 
Inategemea ni jukwa lipi mkuu...

Kama ni huko kwenye siasa sawa...au mambo ya giza(mshana)...

Kwa tusiotia mguu huko lazima tupate wasiwasi na list
 
Inategemea ni jukwa lipi mkuu...

Kama ni huko kwenye siasa sawa...au mambo ya giza(mshana)...

Kwa tusiotia mguu huko lazima tupate wasiwasi na list

Hahahaaa mbona hapo kuna manguli wa majukwaa tofauti tofauti. Kuna nguli wa sports, kuna nguli wa jukwaa la great thinkers, mambo ya ghaibu (Mshana jr), kuna nguli wa science hapo kama mkwawa, kikulacho na watu8. Ila wengi wako kote kote mfano #Mshanajr utamkuta tena katika photograph kule.
 
Sio yote mkuu....
MMU
interteiment
Celebrite
JLW...

Anyway yupo correct jamaa kwa hayo majukwaa mengine labda
 
Aysee @MO 11 upo?
Mimi wewe ni no1
Una majibu kama lodilofa aysee yaan kila nikisoma coment yako mbavu sina chief.
 
Back
Top Bottom