Walionikosea nikawashughulikia,sasa wanaanguka kifafa

Mkuu huyu ndio tatizo kubwa kwa watanzania walio wengi hebu okoa jahazi..jina lake ni 'john pombe joseph magufuli'
 
Mm n mtaalam wa kumkomesha mtu mbaya kwenye jamii, mtata kwenye jamii.

Ukinipa jina lake tu, namshughulikia kesho anaanza kuanguka kifaa.Make sure amekukosea kweli maana ukidanganya tu kifafa kinakurudia wewe au mke/mume wako,sitanii.

Short and clear
Mkuu mimi magu kanikosea
Sasaa
 
Fanya kazi kwa bidii na maarifa mkuu.Mchawi hawezi iba hela benk
Hapo ndiyo huwa naona uchawi hauna faida. Km unaingia nyumba ya jirani, kwann unashindwa kuchukua hela? Nimelala zangu, nimetoka kazini nimechoka. ww usiku kucha unahangaika na mlango.
 
Mm n mtaalam wa kumkomesha mtu mbaya kwenye jamii, mtata kwenye jamii.

Ukinipa jina lake tu, namshughulikia kesho anaanza kuanguka kifaa.Make sure amekukosea kweli maana ukidanganya tu kifafa kinakurudia wewe au mke/mume wako,sitanii.

Short and clear
pm
 
Sasa naona ni mda muafaka wa kumtia kifafa ex wangu , aliniacha na maumiv na dharau kede kede kisa tu alijua nampenda yaan kwisha kabisa mkuu nitaku pm tuyajenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm n mtaalam wa kumkomesha mtu mbaya kwenye jamii, mtata kwenye jamii.

Ukinipa jina lake tu, namshughulikia kesho anaanza kuanguka kifaa.Make sure amekukosea kweli maana ukidanganya tu kifafa kinakurudia wewe au mke/mume wako,sitanii.

Short and clear
Mkuu ulipotelea wapi?
 
Mm nitakuamini ukiwafanya hivyo wanaotuingiza hasara za kulipa mabilioni kwa mabilioni,pia mafisadi kama Escrow nk
Ukifanya hivyo nitakuamini la sivyo naona usanii tu.
NB: Wahusika wa hapo juu wote wanafahamika kwa majina yao yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usije ukawa kama MTU mzito ambaye aliteka jukwaa watu tukasema lifunguliwe jukwaa la tiba na ushirikina kumbe ati jamaa ni tapeli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom