MR. MORRIS T. J.
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 1,167
- 403
Kama alivyopimwa lissu ambaye hivi sasa anatibiwa mirembeMi nadhani kuna haja ya kupimwa akili kabla ya kuingia bungeni...
Hii comment imeandikwa na mtu anayetumia akili ya kukodiCCM yenyewe inajua unapokuwa na wabunge mbumbu kama alimpinga mwanasheria mkuu mzalendo. Hata kwa kumwangalia tu unajua kichwani hamna kitu. Eti anasema kukataa anajiona kasoma! Kweli kasoma ndio maana ni mwanasheria mkuu. Wao walizani yeye ni mamluki kama wao.
Chadema itaumbuka....akina sugu, lema, msigwa na hata mbowe watausikia ubunge kwenye radioNapendekeza kiwango cha elimu ya mtu anayetaka kuwa mbunge walau iwe Diploma au degree ya chuo kikuu.
Chadema itaumbuka....akina sugu, lema, msigwa na hata mbowe watausikia ubunge kwenye radio
Kama alivyopimwa lissu ambaye hivi sasa anatibiwa mirembe
Salamu special zimfikie captain John Komba na Prof Maji Marefu, darasa LA Saba oyeeeeeee
Kwanini Wapige Kura Kama Walijua Wote Walitakiwa Waseme Ndiyo?Neno La Hapana Kwanini Waliliweka?Waliwekewa Watu Gani?Et Mwanasheria Mkuu Hakuwemo Bungeni, Unajua Sababu Iliyomfanya Asiwemo?Katumia Uhuru Wake Sasa Kwanini Kumzonga? Kulikuwa Na Haja Gani Ya Kupiga Kura Sasa Kama Mtu Katumia Haki Yake Ya Msingi? Mimi Nawapinga Wote Waliomzomea Mwanasheria Mkuu. Tulisema Kuwa Na Wabunge Wa Std Seven Au Form 4 Felia Ni Majanga Makubwa!! Sidhani Kama Mwenye Digree Angefanya Hvy.
Upo sahihi ila kwenye rangi hizo rekebishaKwanini Wapige Kura Kama Walijua Wote Walitakiwa Waseme Ndiyo?Neno La Hapana Kwanini Waliliweka?Waliwekewa Watu Gani?Et Mwanasheria Mkuu Hakuwemo Bungeni, Unajua Sababu Iliyomfanya Asiwemo?Katumia Uhuru Wake Sasa Kwanini Kumzonga? Kulikuwa Na Haja Gani Ya Kupiga Kura Sasa Kama Mtu Katumia Haki Yake Ya Msingi? Mimi Nawapinga Wote Waliomzomea Mwanasheria Mkuu. Tulisema Kuwa Na Wabunge Wa Std Seven Au Form 4 Felia Ni Majanga Makubwa!! Sidhani Kama Mwenye Digree Angefanya Hvy.
Mleta mada ni mvuta bahnge