Vicin
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 676
- 295
Ndio, ukiwa una points wanakuchukua.Mkuu wapo waliochaguliwa UDSM
Ndio, ukiwa una points wanakuchukua.Mkuu wapo waliochaguliwa UDSM
nilimuombea dada yangu Ardhi,UD na UDOM...ardhi na UD hajachaguliwa tunasubir UDOM...na yeye katokea DIP ya GEOMATICSVyema sana na je ujlichagua chuo kimoja or vingi kwani mm nilichagua viwili kimoja ni aridhi ambacho sijachaguliwa na kingine ni UDOM ambacho ni bado kutoa majina
Akikujibu nitagUlisoma diploma ya fani gani? na ulikua na GPA ya ngapi?
Ameshajibu kwamba amesoma dip ya it ana gpa ya 3.3 amechagua course ya Csism.Akikujibu nitag
siyo aridhi ni ardhiNaomba kujua kama kuna yoyote aliechaguliwa kwa ngazi ya degree ikiwa yeye aliomba kwa njia ya DIPLOMA kwa vyuo vilivyo toa majina tayari!!! Na je kunaaliye chaguliwa ARIDHI UNIVERSITY?
Hahahahahahahaha.... Hebu udom na mzumbe toeni selection. Watu hawana cha kupost humu.siyo aridhi ni ardhi
huo ni ujinga wa level za PhD ukapimwe mkojo wewe siyo bure.Degree mimi sina mpango nazo bro sasa hivi nataka nikasome dip nyingine niwe na dip tatu zenye proffesion tofauti, hizi degree hazina maana zaidi ya kukuongezea changamoto
Acha kumsumbua mwenzako. Yeye uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo. Akasome diploma zote. In short ukijiongeza ni kwamba gpa yake imegoma kwenda degree.we ukapimwe mkojo siyo bure.
Uwezo na wewe wa kufikiri umeishia. ......Acha kumsumbua mwenzako. Yeye uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo. Akasome diploma zote. In short ukijiongeza ni kwamba gpa yake imegoma kwenda degree.
UnlimitedUwezo na wewe wa kufikiri umeishia. ......
Tupo pamoja mkuu...hta Mimi huku nasumbuka web page ya muhas majangaMuhas vipi..mana nafungua wesite yao inazingua
Tupo pamoja mkuu...hta Mimi huku nasumbuka web page ya muhas majangaMuhas vipi..mana nafungua wesite yao inazingua
Degree mimi sina mpango nazo bro sasa hivi nataka nikasome dip nyingine niwe na dip tatu zenye proffesion tofauti, hizi degree hazina maana zaidi ya kukuongezea changamoto
Itabid aombe kwa qualification zake za adavance na sio kwa diploma yake ya education..Wakuuu naomba kuuuliza ivi kwa mtu alie soma diploma ya education na akapata GPA 4.7 akiomba degree ya environmental health anaweza pata? Wakat advance alisoma CBG nakupat chemistry B,biology C,na geography C,mwaka 2014 msaada wa mawazo wakuu
Asante mkuuu ivi kunachuo kingine kinacho toa degree ya environmental health ukiacha muhas naomben mnijuze wakuuItabid aombe kwa qualification zake za adavance na sio kwa diploma yake ya education..
kwa udom na ardhi kuna aliye na sifa ya diploma aliyeomba degree akapataa??Ardhi tayari, udom ndio tunaskilizia.
Ardhi sijajua. Ila udom nliomba wamekaza. Kuna ushindani mkubwa wa vyuo.Kuna aliye
kwa udom na ardhi kuna aliye na sifa ya diploma aliyeomba degree akapataa??
Haya bwana na degree zenu mnakosa hata kiwi za kubrash viatuNakushauri ukapate degree then uamue kupata degree nyingine kwenye fani tofauti, Diploma siyo kitu kwenye dunia ya sasa, pata degree sita tofauti mfano pata Master in IT then Doctor of Medicine, MBA etc