Waliomba Degree kwa Diploma Only!!

Waliomba Degree kwa Diploma Only!!

Samhoodsam

Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
33
Reaction score
6
Naomba kujua kama kuna yoyote aliechaguliwa kwa ngazi ya degree ikiwa yeye aliomba kwa njia ya DIPLOMA kwa vyuo vilivyo toa majina tayari!!! Na je kunaaliye chaguliwa ARIDHI UNIVERSITY?
 
Yep yep. Nimo. Udsm
Vyema sana na je ujlichagua chuo kimoja or vingi kwani mm nilichagua viwili kimoja ni aridhi ambacho sijachaguliwa na kingine ni UDOM ambacho ni bado kutoa majina
 
Ulisoma diploma ya fani gani? na ulikua na GPA ya ngapi?
 
Vyema sana na je ujlichagua chuo kimoja or vingi kwani mm nilichagua viwili kimoja ni aridhi ambacho sijachaguliwa na kingine ni UDOM ambacho ni bado kutoa majina
Nilichagua ud, udom na mzumbe. Usiwaze udom ni tingatinga haiachi mtu mwenye sifa.
 
Naomba kujua kama kuna yoyote aliechaguliwa kwa ngazi ya degree ikiwa yeye aliomba kwa njia ya DIPLOMA kwa vyuo vilivyo toa majina tayari!!! Na je kunaaliye chaguliwa ARIDHI UNIVERSITY?
Mi nasubiri kuconfirm tu nimechaguliwa UDSM NA SUA,
 
cin, post: 23787036, member: 444437"]Nilichagua ud, udom na mzumbe. Usiwaze udom ni tingatinga haiachi mtu mwenye sifa.[/QUOTE]ukachaguliwa kipi sasa
 
cin, post: 23787036, member: 444437"]Nilichagua ud, udom na mzumbe. Usiwaze udom ni tingatinga haiachi mtu mwenye sifa.
ukachaguliwa kipi sasa[/QUOTE]
Nimechaguliwa udsm.
Mzumbe na udom hawajaachia selection bado sijajua kama wamenichagua ama wamenitema.
 
Naomba kujua kama kuna yoyote aliechaguliwa kwa ngazi ya degree ikiwa yeye aliomba kwa njia ya DIPLOMA kwa vyuo vilivyo toa majina tayari!!! Na je kunaaliye chaguliwa ARIDHI UNIVERSITY?
Mkuu wapo waliochaguliwa UDSM
 
Back
Top Bottom