Mwinjilist mtume nabii JF-Expert Member Joined Feb 21, 2015 Posts 2,437 Reaction score 1,100 Apr 3, 2015 #1 Mimi Nimemaliza Mikumi Sec.School, Nawatafuta Pia Wengine Kuanzia Mwaka 2003,2004,2005,nk. Utasema Jina Lako La Shuleni, Mahali Ulipo Kwa Sasa,na Angalau Jina La Mwl Mmojawapo Kama Kweli Umemaliza Hapo
Mimi Nimemaliza Mikumi Sec.School, Nawatafuta Pia Wengine Kuanzia Mwaka 2003,2004,2005,nk. Utasema Jina Lako La Shuleni, Mahali Ulipo Kwa Sasa,na Angalau Jina La Mwl Mmojawapo Kama Kweli Umemaliza Hapo
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,195 Apr 3, 2015 #2 acha ujinga wewe...unadhani mikumi ni hiyo shule uliyosoma peke yake kuna mikumi secondary zaidi ya 10 bongo...sema specific unazungumzia mikumi ipi?! #Zitto
acha ujinga wewe...unadhani mikumi ni hiyo shule uliyosoma peke yake kuna mikumi secondary zaidi ya 10 bongo...sema specific unazungumzia mikumi ipi?! #Zitto
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Apr 3, 2015 #3 Simba, tembo, nyani, kima ndio classmates wako
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,240 Reaction score 16,605 Apr 3, 2015 #4 Mmmh wewe umemaliza miaka yote hiyo
N Nando JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 4,848 Reaction score 2,061 Apr 3, 2015 #5 Gwangambo said: Simba, tembo, nyani, kima ndio classmates wako Click to expand... Mkuu umenifanya nicheke kwa sauti sana.
Gwangambo said: Simba, tembo, nyani, kima ndio classmates wako Click to expand... Mkuu umenifanya nicheke kwa sauti sana.
Mwinjilist mtume nabii JF-Expert Member Joined Feb 21, 2015 Posts 2,437 Reaction score 1,100 Apr 4, 2015 Thread starter #6 mzaramo said: acha ujinga wewe...unadhani mikumi ni hiyo shule uliyosoma peke yake kuna mikumi secondary zaidi ya 10 bongo...sema specific unazungumzia mikumi ipi?! #Zitto Click to expand... Mkuu Mikumi Sec.School Ya Mikumi Kabsa Kilosa Kwenda Kilombero
mzaramo said: acha ujinga wewe...unadhani mikumi ni hiyo shule uliyosoma peke yake kuna mikumi secondary zaidi ya 10 bongo...sema specific unazungumzia mikumi ipi?! #Zitto Click to expand... Mkuu Mikumi Sec.School Ya Mikumi Kabsa Kilosa Kwenda Kilombero
D DUME LA NGEDELE Member Joined Mar 28, 2015 Posts 12 Reaction score 4 Apr 4, 2015 #7 Vp na wewe ulimaliza pale maana wanafunzi wa mikumi wengi walikuwa vilaza sana vp wewe uliponaga kupata zero
Vp na wewe ulimaliza pale maana wanafunzi wa mikumi wengi walikuwa vilaza sana vp wewe uliponaga kupata zero
Mwinjilist mtume nabii JF-Expert Member Joined Feb 21, 2015 Posts 2,437 Reaction score 1,100 Apr 4, 2015 Thread starter #8 DUME LA NGEDELE said: Vp na wewe ulimaliza pale maana wanafunzi wa mikumi wengi walikuwa vilaza sana vp wewe uliponaga kupata zero Click to expand... Mimi Nilipiga Vzr Sana, Ulizia Jina Langu
DUME LA NGEDELE said: Vp na wewe ulimaliza pale maana wanafunzi wa mikumi wengi walikuwa vilaza sana vp wewe uliponaga kupata zero Click to expand... Mimi Nilipiga Vzr Sana, Ulizia Jina Langu