C Calehem New Member May 11, 2017 1 0 May 14, 2017 #1 Jaman naomben mnijuze kwa wale kidato cha sita waliomalza wataenda J.K.T?
P petrocaptain JF-Expert Member Dec 17, 2016 211 122 May 14, 2017 #2 Subirin tamko kutoka wizara huska
sanchez255 Senior Member Jun 9, 2015 171 312 May 17, 2017 #3 Wanasema kuanzia Tarehe 26 post za mujibu wa sheria kidato cha sita zinatoka