BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,810
Wadau,
Mjomba wangu amepata hofu kuwa binti yake hajamaliza chuo, siku ya graduation ya graduation alikataa kwenda lakini hakuna aliyehisi kitu kwakuwa hajawahi kufanya graduation hata alipokuwa akimaliza o level na a level.
Humu ndani tupo wengi hivyo akiharibiki kitu, nilikuwa naomba msaada wenu mwenye uwezo wa kupata majina ya watu waliomaliza Bachelor ya Finance and Investment mwaka 2016.
Nitashukuru sana wandugu mkipiga picha hayo majina mniwekee hapa au mnitumie inbox. Asanteni