Waliokuja Arusha leo poleni kwa mabomu

Waliokuja Arusha leo poleni kwa mabomu

Mkali popote

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
633
Reaction score
340
Wakuu

Kwanza kabisa napenda kuwapa pole wale wote walikuja arusha leo na wanaoendelea kuja baada ya kukutana na timbwili kati ya wananchi na jeshi la police.

Mpaka sasa bado hali haijatulia baada ya police kuwarindimishia mabomu ya machozi waandamaji wa kabila la wameru waliokuwa wakielekea kituo cha polisi usa river kudai mwenzao aliyeuwawa kutokana na mzozo wa ardhi unaondelea.

Kwa hiyo poleni sana wananchi na abiria wanaotokea mikoa kama KILIMANJARO,TANGA,DAR nk.

Duh hii ndio ARUSHA..
 
Kwa upande wa aridhi Hatuna Serikali kwa sababu imeshindwa kutatua migogoro ya aridhi. Manyara, Arusha na Morogoro kumekuwa na ugomvi wa huo kwa muda mrefu sana, lakini Serikali imekuwa ikisubiri watu wauane ikatoe pole na mkwara kibao!!
Endeleeni kuchagua viongozi kwa ushabiki, mtaumia sana na pengine hata kupoteza maisha. Poleni sana.
 
Acha upotoshaji wewe, nipo usa river hakuna kitu kama hicho.
 
Mmmmh! Haya sijasikia hebu ngoja niwasaeach wajomba zangu wa mtaa lengwa hewani!!
 
Hii mbona sijaipata kwa leo? Ni eneo gani hilo mkuu
 
Kwa upande wa aridhi Hatuna Serikali kwa sababu imeshindwa kutatua migogoro ya aridhi. Manyara, Arusha na Morogoro kumekuwa na ugomvi wa huo kwa muda mrefu sana, lakini Serikali imekuwa ikisubiri watu wauane ikatoe pole na mkwara kibao!!
Endeleeni kuchagua viongozi kwa ushabiki, mtaumia sana na pengine hata kupoteza maisha. Poleni sana.

Wamasai ndio chanzo cha migogoro, wao wanamawazo mgando, kila pori wakiona pako kimyaa wanadhani pori halina mwenyewe wanaweka mifugo! wakiambiwa hapo kuna wakulima wanawashambulia! kibaya zaidi, chadema ndio inawahamasisha kutotii sheria! Ni shidaa!
 
Watu wanaposema ndiyo matunda ya chadema au kushabikia chama kwani polisi ni Wa chadema au wa serikali ya CCM ? Huko morogoro wanapouana kila Leo na manyara kote wabunge wake ni chadema? CCM imefika ukomo wa fikra. Sishabikii chama chochote lakini natamani kuona mabadiliko ya vyama vinavyoshika dola na nchi yenye katiba madhubuti labda hapo tutasogea kidogo. Otherwise CCM wamechoka sasa. Wanaiba tu
 
Back
Top Bottom