Waliokua wanasema UDSM wote wanapata kazi ila UDOM hawapati kazi wako wapi?

Asikuambie mtu swala la kupata kazi haijalishi umesoma chuo gani wala kozi gani ni MUNGU apangaye, nyota yako pia inahusika na juhudi binafsi.

NIMEONA UDOM GRADUATE wameajiriwa maeneo mengi gvt. Na private sector, huku UDSM wakilia njaa na wakati walikua wanaponda elimu ya UDOM NA KUA WAHITIMU WAKE HAWAAJIRIKI
binafsi nmemaliza UDOM 2012 nikapata job gvt.

2014 mwishoni huku chuo nlikua wa kawaida tu, nachemka kwenye Seminar, ila kweli kupata kazi ni bahati, leo waliokua wanancheka sijui hata presentation wako mtaani wana haso.

MUNGU awasaidie wafanikiwe plus wale wa udsm waliokua wanaponda UDOM.

Unaposema kupata kazi ni bahati maana yake haukua na sifa, vigezo wala hukustahili hiko kitu na pia hujiamini hivyo umebahatisha...ila ndo aina ya wahitimu toka vyuoni....
 
Ngoja nipite bila kuchangia huu uzi wa ajabu katika kuelekea kuazimisha tisa disemba siku ya usafi.
 
naona wewe hujielewi..ngoja nkuache kama ulivyo tu..naona hata hiyo kazi hujaipata kihalali..maana huwez kuwa na akili fupi hivi then ukafaulu usail..wacha kuwaibisha wana udom wenzio humu.

Aise...
Basi na mm nitapata kazi, ngoja nianze kuomba serukalin, maana kama ww umeweza kupata na mm nitapata...
 
Unaposema kupata kazi ni bahati maana yake haukua na sifa, vigezo wala hukustahili hiko kitu na pia hujiamini hivyo umebahatisha...ila ndo aina ya wahitimu toka vyuoni....

usijitoe ufahamu m.p.u.z.i wewe hakuna asiyejua kua kupata kazi ni bahati bz wahitimu ni wengi na idadi ya vyuo imeongezeka...,pilipili usiyoila inakuwashia nini kwenye kitobo chako?
 
sijasoma udom &ud ila uzi umekaa kitoto sikudhani kama graduate anaweza kufikiri kitu kama hiki

wewe ni K kwa hyo waliokua wanaponda udom kwa weak argument ndio uliwaona wa maana? Funga makalio yako sio lazima kila kitu uchangie
 
Kweli kuna maamuma huku duniani? Ajab kabisa huyo kilaza kapata kazi kaja kujamba hapa....!
 
naona wewe hujielewi..ngoja nkuache kama ulivyo tu..naona hata hiyo kazi hujaipata kihalali..maana huwez kuwa na akili fupi hivi then ukafaulu usail..wacha kuwaibisha wana udom wenzio humu.

Mbona kaishasema kule kwenye mada ake kuwa alikuwa anafeli feli sana...kwahiyo alivyopata kazi ndicho kinachomshangaza hadi kafungulia uzi?!??!!
 
Kupata kazi ni majaliwa ya Mungu ila product ya UDSM ina utofauti kidogo na product ya UDOM hiyo tukubaliane tu ki ukweli.
 
Back
Top Bottom