Waliokosa first selection ya TCU

Waliokosa first selection ya TCU

kimmswati

Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
77
Reaction score
48
WanaJamiiForums kwa wale waliokosa vyuo sasa inakuaje maaana vimebaki vyuo vya private vingi na vyuo vipi ni vizuri ku apply Kuna ndugu yangu aliomba law udom udsm na mzumbe kakosa sasa vyuo gani vizuri ambayo vinatoa kitivo cha sheria kiufanisi ili ajaze.

Msaaada wenu Please wadau.
 
Daah yan janga la taifa nmepata 2 o level advance nmepat 2 cjapangiwa chuo hata cjui nifanyaje
 
Jaman mm ile jumapili niliangalia nkakuta nmepangwa tumaini but now kila nkijarb kuload page zinagoma yan hata sijui kama jina language lipo au lah, msaada plz ..mchana mwema
 
Mi wa diploma mpka sasa selection zetu sizioni,nimemaliza dip nataka kwenda bach..au kuna link mnisaidie
 
WanaJamiiForums kwa wale waliokosa vyuo sasa inakuaje maaana vimebaki vyuo vya private vingi na vyuo vipi ni vizuri ku apply Kuna ndugu yangu aliomba law udom udsm na mzumbe kakosa sasa vyuo gani vizuri ambayo vinatoa kitivo cha sheria kiufanisi ili ajaze.

Msaaada wenu Please wadau.
Kuwa mpole ndugu hapo ushatemwa ......!
 
Back
Top Bottom