juliusJr
Senior Member
- Jul 14, 2016
- 180
- 61
Education UDSM na DUCE UDOM Education na MZUMBE BHSMTaja coz zako 3 za kwanza pmj na vyuo at least inaweza ku2pa mwanga y hujachaguliwa
Education UDSM na DUCE UDOM Education na MZUMBE BHSMTaja coz zako 3 za kwanza pmj na vyuo at least inaweza ku2pa mwanga y hujachaguliwa
Ni ngumu kutochaguliwa kwa ulivyojaza subr uangalie wanasemaje inawezekana system ikawa inasumbuaEducation UDSM na DUCE UDOM Education na MZUMBE BHSM
Daah aya brazaNi ngumu kutochaguliwa kwa ulivyojaza subr uangalie wanasemaje inawezekana system ikawa inasumbua
Ulikua mchepuo gani rafikiDaah yan janga la taifa nmepata 2 o level advance nmepat 2 cjapangiwa chuo hata cjui nifanyaje
Jaman mm ile jumapili niliangalia nkakuta nmepangwa tumaini but now kila nkijarb kuload page zinagoma yan hata sijui kama jina language lipo au lah, msaada plz ..mchana mwema
Usiseme hivyo! Be realistic! uliza je alipata division 2 ya pointi ngapi? Vyuo alivyochagua vina ushindani sana ndio maana alikosa! Kwa mfano division 2 ya D, D, D, kwa masomo ya art usitegemee kumudu ushindani wa UDSM, DUCE nk.Ni ngumu kutochaguliwa kwa ulivyojaza subr uangalie wanasemaje inawezekana system ikawa inasumbua
Diploma bado kaka haya matokeo ni kwa form six leaver tu !!!!!!;Mi wa diploma mpka sasa selection zetu sizioni,nimemaliza dip nataka kwenda bach..au kuna link mnisaidie
AsanteDiploma bado kaka haya matokeo ni kwa form six leaver tu !!!!!!;
Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
BABA HATA MIMI I SAY ..NIME LOGIN NAONA MESSAGE THAT"YOUR PROVISSIONJaman mm ile jumapili niliangalia nkakuta nmepangwa tumaini but now kila nkijarb kuload page zinagoma yan hata sijui kama jina language lipo au lah, msaada plz ..mchana mwema
Kwaiyo mkuu kama mwanzo tulichagua education tukakosa kwa saivi haitakiwi tena education? Au nimeelewa vibaya?Please note that: a) Applicants who were not selected in the first round and new applicants are advised to read carefully the admission requirements of each programme they anticipate to apply as shown in the Admissions’ Guidebook available on TCU website: www.tcu.go.tz. The carefully reading will enable them to confirm that they have the necessary qualifications for the preferred programme.
b) The dead line for Re-application is 23rd September 2016.
c) Programs that had been filled in the first round will not be displayed.
d) To view available slots please login to CAS
Kipengele (C) hakina nia nzuri kabisa.
Mimi nimeelewa kwamba kozi uliyoichagua awali haitokuwepo tena kwakuwa ulikosa nafasi.so zitabaki kozi ambazo zina nafasi.Kwaiyo mkuu kama mwanzo tulichagua education tukakosa kwa saivi haitakiwi tena education? Au nimeelewa vibaya?
ndugu yako yupi wakati ni wewe mwenyewe...ila nakushauri ujaze course unayoipenda kwan ukifika chuo hakuna kubadilishaWanaJamiiForums kwa wale waliokosa vyuo sasa inakuaje maaana vimebaki vyuo vya private vingi na vyuo vipi ni vizuri ku apply Kuna ndugu yangu aliomba law udom udsm na mzumbe kakosa sasa vyuo gani vizuri ambayo vinatoa kitivo cha sheria kiufanisi ili ajaze.
Msaaada wenu Please wadau.
Teeh teeh.ndugu yako yupi wakati ni wewe mwenyewe...ila nakushauri ujaze course unayoipenda kwan ukifika chuo hakuna kubadilisha
Naona leo umewaamulia hawa jamaa wenye kujidai mara rafiki yangu mara mdogo wangu, safi snndugu yako yupi wakati ni wewe mwenyewe...ila nakushauri ujaze course unayoipenda kwan ukifika chuo hakuna kubadilisha
Kuna jamaa yang kapiga 2, kachagua ualimu kote na vyuo vyote vitano na bado kakosaungechagua ualimu, ungepata shehee