Walioko kwenye ndoa pitia hapa

ha ha ha huku kwetu mbona hii darasa nishapewa kitaaaaambo labda mengine kama kipo nisichokijua chezea pwani wewe ha ha ha
Marahabaa, madamu ushajifunza hayo... basi hapo juu kuna vitabu kavi tambulisha da faiza Foxy uvisome ...utafuzu ktk Ndoa !!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mimi sijakuelewa kwa ufasaha...hoja yako ni nzuri sana kwetu wanandoa lakini umefeli kutoa suluhisho... kwamba baada ya kuona viashiria hivyo nini kifanyike ili kunusuru ndoa ya namna hiyo mkuu.......
 
Je kama haachi kodi ya meza ya kutosha upike msosi kutoka wapi?
Mmmh Usiwe Mzuiaji haraka hivyo !! kwa maneno mataamu na Vitendo vizrivizri Mweke kitaako na muongee!! (tumepewa midomo na ndimi ya nini?) tumia umahiri wako.. au nenda tanga ukajifunze kozi za wa mama juu ya wa baba !! ... tija itakuwa Ubingwa mbele.....! hongera bahati mbaya
 
Last edited by a moderator:
For the first time, please FF, accept my highest respect. I have thoroughly read The Perfumed Garden. It is so intriguing.
Thank you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…