Jamani mimi nimeitwa kazi osha lakini baada ya kuripoti tukaambiwa tusubiri watatupigia simu sasa mwezi umeisha bado kimya,kwa yeyote mwenye taarifa na hili tujuzane hapa jf nawaza labda kuna figisufigisu
wadau samahani nipo nje ya mada kidogo, naomba kufahamu ofisi za OSHA hapa dar zilipo pia kufahamu kuhusu Course ya Safety management ngazi ya cheti ni Tsh ngapi?
wadau samahani nipo nje ya mada kidogo, naomba kufahamu ofisi za OSHA hapa dar zilipo pia kufahamu kuhusu Course ya Safety management ngazi ya cheti ni Tsh ngapi?
Mjumbe ninaamin ni sababu za kifedha labda maandaliz ya fedha ya kujikimu na vitu kama hivyo.mkuu kama una barua ya kuitwa ajirani usiwe na hofu,cha msingi kaa karbu na ofis hiyo kusud upate updates zao.