Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Habari za uhakika kutoka vyanzo vyangu vya habari kutoka mikoani ,vimenibipu kuwa wale waTanzania walio wengi ambao walikuwa wakihamia kwenye Chama cha siasa cha Chadema wameanza kukisema na kukipuuza Chama hicho baada ya lile valangati lililotokea bungeni.
hata kabla ya vulugu la bungeni wengi wa wanachama wa chama hicho walikuwa wanasusia mikutano na baadhi ya ofisi huwa hazifunguliwi kwa kuwa hakuna anaepita wala kuhudhuria mkutano ikiwa utaitishwa hali iliyopelekea Chama hicho kuanza kufifia.
Baadhi ya wananchi wamesikika wakisema kuwa waliiona CDM kama mkombozi wao kwajinsi kinavyotangaza sera lakini kwa matendona mienendoya viongozi wao wameona yale yote ni danganya toto na sasa wanaelewa ni nani alie na nia ya kuwakomboa Watanzania toka kwenye makucha ya Sultani CCM.
Ubovu wa CDM ambao nimbaya hata kushinda ngozi ya shetani ni kule kuwaeleza wananchi mambo mengi na ahadi nyingi zikiwepo kurudi mara ingine kuwasimulia mapya ,wananchi wamesema huwa hawarudi na hata wakirudi huwa hawana jipya,na baya zaidi ni kule kwa viongozi wa Chadema kujijali wao wenyewe kwa wenyewe na kwa maslahi yao,hawaonyeshi nia ya kumjali mwananchi wa kawaida.
wananchi wengi wanaokumbwa na matatizo wakati , wa vurugu hizo zilitokana na kuwepo au kuhudhuria kwenye mikutano ya Chadema ,na kukumbana na vyombo vya dola kuwepokesi au kuswekwa lakapu,CDM huwa hawafuatilii wala kuwajulia na viongozi wao huwa hawawaoni wala kuwasogelea katika vituo ,labda pale tu kiongozi awe amekamatwa. Wananchi hao wamesema wamechoka kufanywa kama ngazi ya kupandia mtumbwi.
...yaah! tunaona mifano. "Mnyonge" Ritz1 anatajwa kuwa tangu baba aukwae urais keshakuwa mfanyabiashara mkubwa sana, amekuwa mchimbaji dhahabu huko Chunya, na zile dawa za kuwalaza vijana barabarani. "Mnyonge" Nape form 4 division 4 point 29 ana Masters. "Mnyonge" Kinje huko S/Africa anapiga bussness za nguvu na akina Masogange.chama pekee pendwa cha siasa hapa tanzania ni ccm na ndicho chama cha kuwatetea wanyonge na kuwaletea maendeleo
Sidhani kama unachosema ni kweli, chdm haiwezi kuchukiwa na wananchi, sababu ndo mtetezi wa wanyonge! Acha uongo huo bwana.
Umeeleza mambo mepesi sana,tulitegemea uje na hoja nzito zenye mashiko lakini umekuja na porojo tu.Hakuna sababu ya kuchangia.TUMEAMUA KUKUPUUZA!Habari za uhakika kutoka vyanzo vyangu vya habari kutoka mikoani ,vimenibipu kuwa wale waTanzania walio wengi ambao walikuwa wakihamia kwenye Chama cha siasa cha Chadema wameanza kukisema na kukipuuza Chama hicho baada ya lile valangati lililotokea bungeni.
hata kabla ya vulugu la bungeni wengi wa wanachama wa chama hicho walikuwa wanasusia mikutano na baadhi ya ofisi huwa hazifunguliwi kwa kuwa hakuna anaepita wala kuhudhuria mkutano ikiwa utaitishwa hali iliyopelekea Chama hicho kuanza kufifia.
Baadhi ya wananchi wamesikika wakisema kuwa waliiona CDM kama mkombozi wao kwajinsi kinavyotangaza sera lakini kwa matendona mienendoya viongozi wao wameona yale yote ni danganya toto na sasa wanaelewa ni nani alie na nia ya kuwakomboa Watanzania toka kwenye makucha ya Sultani CCM.
Ubovu wa CDM ambao nimbaya hata kushinda ngozi ya shetani ni kule kuwaeleza wananchi mambo mengi na ahadi nyingi zikiwepo kurudi mara ingine kuwasimulia mapya ,wananchi wamesema huwa hawarudi na hata wakirudi huwa hawana jipya,na baya zaidi ni kule kwa viongozi wa Chadema kujijali wao wenyewe kwa wenyewe na kwa maslahi yao,hawaonyeshi nia ya kumjali mwananchi wa kawaida.
wananchi wengi wanaokumbwa na matatizo wakati , wa vurugu hizo zilitokana na kuwepo au kuhudhuria kwenye mikutano ya Chadema ,na kukumbana na vyombo vya dola kuwepokesi au kuswekwa lakapu,CDM huwa hawafuatilii wala kuwajulia na viongozi wao huwa hawawaoni wala kuwasogelea katika vituo ,labda pale tu kiongozi awe amekamatwa. Wananchi hao wamesema wamechoka kufanywa kama ngazi ya kupandia mtumbwi.
Habari za uhakika kutoka vyanzo vyangu vya habari kutoka mikoani ,vimenibipu kuwa wale waTanzania walio wengi ambao walikuwa wakihamia kwenye Chama cha siasa cha Chadema wameanza kukisema na kukipuuza Chama hicho baada ya lile valangati lililotokea bungeni.
hata kabla ya vulugu la bungeni wengi wa wanachama wa chama hicho walikuwa wanasusia mikutano na baadhi ya ofisi huwa hazifunguliwi kwa kuwa hakuna anaepita wala kuhudhuria mkutano ikiwa utaitishwa hali iliyopelekea Chama hicho kuanza kufifia.
Baadhi ya wananchi wamesikika wakisema kuwa waliiona CDM kama mkombozi wao kwajinsi kinavyotangaza sera lakini kwa matendona mienendoya viongozi wao wameona yale yote ni danganya toto na sasa wanaelewa ni nani alie na nia ya kuwakomboa Watanzania toka kwenye makucha ya Sultani CCM.
Ubovu wa CDM ambao nimbaya hata kushinda ngozi ya shetani ni kule kuwaeleza wananchi mambo mengi na ahadi nyingi zikiwepo kurudi mara ingine kuwasimulia mapya ,wananchi wamesema huwa hawarudi na hata wakirudi huwa hawana jipya,na baya zaidi ni kule kwa viongozi wa Chadema kujijali wao wenyewe kwa wenyewe na kwa maslahi yao,hawaonyeshi nia ya kumjali mwananchi wa kawaida.
wananchi wengi wanaokumbwa na matatizo wakati , wa vurugu hizo zilitokana na kuwepo au kuhudhuria kwenye mikutano ya Chadema ,na kukumbana na vyombo vya dola kuwepokesi au kuswekwa lakapu,CDM huwa hawafuatilii wala kuwajulia na viongozi wao huwa hawawaoni wala kuwasogelea katika vituo ,labda pale tu kiongozi awe amekamatwa. Wananchi hao wamesema wamechoka kufanywa kama ngazi ya kupandia mtumbwi.
Habari za uhakika kutoka vyanzo vyangu vya habari kutoka mikoani ,vimenibipu kuwa wale waTanzania walio wengi ambao walikuwa wakihamia kwenye Chama cha siasa cha Chadema wameanza kukisema na kukipuuza Chama hicho baada ya lile valangati lililotokea bungeni.
hata kabla ya vulugu la bungeni wengi wa wanachama wa chama hicho walikuwa wanasusia mikutano na baadhi ya ofisi huwa hazifunguliwi kwa kuwa hakuna anaepita wala kuhudhuria mkutano ikiwa utaitishwa hali iliyopelekea Chama hicho kuanza kufifia.
Baadhi ya wananchi wamesikika wakisema kuwa waliiona CDM kama mkombozi wao kwajinsi kinavyotangaza sera lakini kwa matendona mienendoya viongozi wao wameona yale yote ni danganya toto na sasa wanaelewa ni nani alie na nia ya kuwakomboa Watanzania toka kwenye makucha ya Sultani CCM.
Ubovu wa CDM ambao nimbaya hata kushinda ngozi ya shetani ni kule kuwaeleza wananchi mambo mengi na ahadi nyingi zikiwepo kurudi mara ingine kuwasimulia mapya ,wananchi wamesema huwa hawarudi na hata wakirudi huwa hawana jipya,na baya zaidi ni kule kwa viongozi wa Chadema kujijali wao wenyewe kwa wenyewe na kwa maslahi yao,hawaonyeshi nia ya kumjali mwananchi wa kawaida.
wananchi wengi wanaokumbwa na matatizo wakati , wa vurugu hizo zilitokana na kuwepo au kuhudhuria kwenye mikutano ya Chadema ,na kukumbana na vyombo vya dola kuwepokesi au kuswekwa lakapu,CDM huwa hawafuatilii wala kuwajulia na viongozi wao huwa hawawaoni wala kuwasogelea katika vituo ,labda pale tu kiongozi awe amekamatwa. Wananchi hao wamesema wamechoka kufanywa kama ngazi ya kupandia mtumbwi.
chama pekee pendwa cha siasa hapa tanzania ni ccm na ndicho chama cha kuwatetea wanyonge na kuwaletea maendeleo[/QUOTE]
maendeleo ya rushwa, ufisadi, na madawa ya kulevya!
mwanachama wa chadema hakuna wala hatatokea wa mawazo yako ya kimagamba,sisi wanachama wa chadema tunajua chadema ndio mkombozi wetu,kila tufanyalo ni kwa ajili ya chama na hata kama tunakufa kwenye mikutano imani yetu ni kwamba watakaobaki watakuja kuishi kwenye nchi ya haki na sheria, hiyo ndio Imani yetu wanachadema,zaidi ya hapo ni magambaHabari za uhakika kutoka vyanzo vyangu vya habari kutoka mikoani ,vimenibipu kuwa wale waTanzania walio wengi ambao walikuwa wakihamia kwenye Chama cha siasa cha Chadema wameanza kukisema na kukipuuza Chama hicho baada ya lile valangati lililotokea bungeni.
hata kabla ya vulugu la bungeni wengi wa wanachama wa chama hicho walikuwa wanasusia mikutano na baadhi ya ofisi huwa hazifunguliwi kwa kuwa hakuna anaepita wala kuhudhuria mkutano ikiwa utaitishwa hali iliyopelekea Chama hicho kuanza kufifia.
Baadhi ya wananchi wamesikika wakisema kuwa waliiona CDM kama mkombozi wao kwajinsi kinavyotangaza sera lakini kwa matendona mienendoya viongozi wao wameona yale yote ni danganya toto na sasa wanaelewa ni nani alie na nia ya kuwakomboa Watanzania toka kwenye makucha ya Sultani CCM.
Ubovu wa CDM ambao nimbaya hata kushinda ngozi ya shetani ni kule kuwaeleza wananchi mambo mengi na ahadi nyingi zikiwepo kurudi mara ingine kuwasimulia mapya ,wananchi wamesema huwa hawarudi na hata wakirudi huwa hawana jipya,na baya zaidi ni kule kwa viongozi wa Chadema kujijali wao wenyewe kwa wenyewe na kwa maslahi yao,hawaonyeshi nia ya kumjali mwananchi wa kawaida.
wananchi wengi wanaokumbwa na matatizo wakati , wa vurugu hizo zilitokana na kuwepo au kuhudhuria kwenye mikutano ya Chadema ,na kukumbana na vyombo vya dola kuwepokesi au kuswekwa lakapu,CDM huwa hawafuatilii wala kuwajulia na viongozi wao huwa hawawaoni wala kuwasogelea katika vituo ,labda pale tu kiongozi awe amekamatwa. Wananchi hao wamesema wamechoka kufanywa kama ngazi ya kupandia mtumbwi.
Acha unafiki kufa Leo tuone.mwanachama wa chadema hakuna wala hatatokea wa mawazo yako ya kimagamba,sisi wanachama wa chadema tunajua chadema ndio mkombozi wetu,kila tufanyalo ni kwa ajili ya chama na hata kama tunakufa kwenye mikutano imani yetu ni kwamba watakaobaki watakuja kuishi kwenye nchi ya haki na sheria, hiyo ndio Imani yetu wanachadema,zaidi ya hapo ni magamba
Chadema huwa tunachukia ukituambia ukweli,sisi tunataka sifa Tu, haya ukome kutueleza ukweli maana unauma.
kama unampango wa kuniua kwa sababu mimi ni chadema unaruhusiwa maana sina namna ya kutoa imani yangu kwa chadema, hivyo unaruhusiwaAcha unafiki kufa Leo tuone.
...yaah! tunaona mifano. "Mnyonge" Ritz1 anatajwa kuwa tangu baba aukwae urais keshakuwa mfanyabiashara mkubwa sana, amekuwa mchimbaji dhahabu huko Chunya, na zile dawa za kuwalaza vijana barabarani. "Mnyonge" Nape form 4 division 4 point 29 ana Masters. "Mnyonge" Kinje huko S/Africa anapiga bussness za nguvu na akina Masogange.
OH! Wenzako juzi ktk kikao cha UVCCM kule Zenj walipewa simu za kisasa za Samsung ili wazitumie kwa kazi hiyo! Tutaona mengi katika mitandao ya kijamii sasa!Dah!!! Eti nawe una vyanzo vyako vya habari!!!! Haya kesho mapema pita Lumumba ukachukue mshiko wako baada ya kuanzisha uzi JF uliojaa pumba. Mamburula banaaaaa!!!! Dah!!!!