Waliohariri vyeti na kujiwekea alama A, B na C nyingi waanza kumiminika NECTA

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Aisee watanzania wana Akili sana watu wali edit vyeti vyao na Kutengeneza Vipya kwa index number ileile yaani kama Mtu alipata

History-D
Civics-C
Geography-C
Kiswahili-C
Biology-F
Mathematics-F
Physics-F
Chemistry-D

Yeye anakitengeza chenye Matokeo yafuatayo ambayo yanatofautiana na Necta hivyo sasa hivi wanapeleka Original

History-B
Civics-C
Geography-B
Kiswahili-B
Biology-C
Mathematics-B
Physics-B
Chemistry-A

Hali hii ni ya Hatari vyeti vya Stationery vinapoingia kwenye soko la ajira huku watanzania wenye sifa wakiwa Mtaani.
 
DAA! WATANZANIA NI KIBOKO. KAMA IMETOKEA HIVYO NA WAKO SALAMA INAONYESHA DATA BASE YA NECTA UKI FEED INDEX NUMBER LINATOKEA JINA NA SHULE BILA KUONYESHA MATOKEO MAANA KWA HALI HIYO KAMA MATOKEO YANAONYESHA CHEM. UNA D THEN ULI EDIT UKAWEKA B HAPO LAZIMA IWE KWERE NA IKICHUNGUZWA SANA LAZIMA UTUMBULIWE.
 
Aisee watanzania wana Akili sana watu wali edit vyeti vyao na Kutengeneza Vipya kwa index number ileile yaani kama Mtu alipata

History-D
Civics-C
Geography-C
Kiswahili-C
Biology-F
Mathematics-F
Physics-F
Chemistry-D

Yeye anakitengeza chenye Matokeo yafuatayo ambayo yanatofautiana na Necta hivyo sasa hivi wanapeleka Original

History-B
Civics-C
Geography-B
Kiswahili-B
Biology-C
Mathematics-B
Physics-B
Chemistry-A

Hali hii ni ya Hatari vyeti vya Stationery vinapoingia kwenye soko la ajira huku watanzania wenye sifa wakiwa Mtaani.
Uta edit vipi wakati database za necta zipo? Wakilinganisha alama na kukuta zimetofautiana hicho ni feki tu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Uta edit vipi wakati database za necta zipo? Wakilinganisha alama na kukuta zimetofautiana hicho ni feki tu
Yaani anaenda stationary anatengenezewa cheti kwa kutumia namba hiohio ya Cheti original alicho feli lkn anabadilisha grades na division ili aweze kupata sifa za kusomea mfano udaktari au uinjinia etc
 
Umejuaje? Au na ww unafanya kazi NECTA?
Km siyo mbea tuwekee ushahid wa mtu mmoja kutoka huko.
 
Yeah Ni fake wanataka walivyoingilia Navyo kazini vyenye A, B nyingi.
Kwa watu makini ambao wanajua mifumo ya kiuhakiki, ni ujuha kama kweli mtu alibadili matokeo halafu kwa stage ya sasa aende tena kulalamika,ni ngumu sana. Naamini wengi kuna matatizo hasa wakati wa uhakiki au wale walioingiliana majina.
 
Aisee watanzania wana Akili sana watu wali edit vyeti vyao na Kutengeneza Vipya kwa index number ileile yaani kama Mtu alipata

History-D
Civics-C
Geography-C
Kiswahili-C
Biology-F
Mathematics-F
Physics-F
Chemistry-D

Yeye anakitengeza chenye Matokeo yafuatayo ambayo yanatofautiana na Necta hivyo sasa hivi wanapeleka Original

History-B
Civics-C
Geography-B
Kiswahili-B
Biology-C
Mathematics-B
Physics-B
Chemistry-A

Hali hii ni ya Hatari vyeti vya Stationery vinapoingia kwenye soko la ajira huku watanzania wenye sifa wakiwa Mtaani.

Kuna wajinga wachache wanataka watu hawa wahurumiwe! Sijajua wanatumia nn kufikiri hivyo! Yumkini ni kitu tofauti na kichwa!!!
 
Hivi mwizi huwa anajipeleka polisi mwenyewe na mali / kitu alichoiba..??
 
Back
Top Bottom