Waliohamia CCM hiki ndicho kitawapata!

Cc:mambumbumbu wote
 
Tumesha kuelewa wahenga wenzako
 
Ni kweli kabisa huku kwetu ndani ya chama changu Ccm makundi tayari yameshaanza kwa ajili ya japokuwa Mbunge anayetuongoza ni wa Cuf lakini kambi tayari
Tumekuelewa sana ndugu yetu kazeni buti msikubali kutawaliwa na wahamiaji haramu
 
Tumesha kuelewa wahenga wenzako View attachment 870609
Duuuuuuh!!!!!! Asante sana kwa kunikumbusha enzi zetu zile..hawa vijana wa mwendokasi watafikiri hapo ni Nanjilinji vijijini kumbe ni Daslam tulikuwa tunapanda tena wajanja tuu maana wengi walikuwa wanatembea tangu kimara/kawe shamba hadi kariakoo na posta town... Aksante kiongozi.. Waliopanda hii kitu hakika tugoshe glasi kidogo...
 
Mkuu sema huoni upinzani majukwaani tu lkn watu ndiyo wanazidi kuwa wapinzani kuliko wakati mwingine wowote ule


Watu wanakuwa wapinzani lakini uoga ndio changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…