Waliohamia CCM hiki ndicho kitawapata!

kikuweli hawa wahamiaji wataleta mgogoro mkubwa sana ndani ya ccm hasa huko mbeleni. muda utasema...
 
hili wazo hata mimi nililifikiria japo kwangu mimi nadhani strategy ya CCM inaendelea zaidi ya hapo. Baada ya kukatwa 2020 kwenye kura za maoni (huu ni mpango ambao ni lazima utekelezwe) hawa viumbe kwa sababu ya undumilakuwili wanatarajiwa kureact kwa kuhama tena (hii ndo ile kete ambayo ndo ya mtego sasa). Mission itakuwa accomplished pale ambapo kutatokea vyama vitavyowapokea jambo ambalo litasababisha mpasuko na migogoro kwa hivi vyama. Wakati huo CCM itakuwa imara zaidi na kwenye nafasi nzuri ya kushinda maana hakutakuwa na mgogoro ndani ya chama hivyo kupata imani ya wananchi especially vijijini.
 
CCM asilia inarudi; watatafuta pa kwenda na huko CDM wameshanyea kambi; malipo ya usaliti lazima wayapate tu. Waliisaliti CCM wakaingia Upinzani kwa.mbwembwe na kuisimanga CCM bila aibu, vibaya vibaya. Haya hawa hawa wamesaliti tena upinzani na kuingia CCM kwa makubakiano maalum; kwa sasa wanakula bata na kuwaacha wafia chama midomo wazi...Mungu anawaona ila kwa sasa acha watanue tutakutana nao kwenye kura za maoni 2020.
 


kweli kabisa mkuu
 


Aiseee
 
Wananchi werevu huchagua mtu haijalishi yupo chama gani! Na ndio maana hawa wamerudi tena! NAWAZA TU
 
Wananchi werevu huchagua mtu haijalishi yupo chama gani! Na ndio maana hawa wamerudi tena! NAWAZA TU


Mkuu shida ni kuwa wananchi huchagua watu waliopitishwa na chama husika. Je hao waliohama watapitishwa?
 
Mkuu shida ni kuwa wananchi huchagua watu waliopitishwa na chama husika. Je hao waliohama watapitishwa?
Kama watakuwa bado wana-amini kuwa wana nguvu kwa wananchi, watahamia chama chochote kwa wakati huo! Vinginevyo waanze Maisha mapya bila kuwepo mjegoni
 
Kama watakuwa bado wana-amini kuwa wana nguvu kwa wananchi, watahamia chama chochote kwa wakati huo! Vinginevyo waanze Maisha mapya bila kuwepo mjegoni


Kwa mfumo wa Bongo Vyama ndivyo vinanguvu kuliko watu
 
Kanuni ni ile ile. Ila kwa mfumo uliopo siuoni upinzani mwaka 2020

Upinzani utakuwepo mkuu, tusiiangalie chadema pekee kumbuka na vyama vingine vipo na vitainuka kama CDM. Rejea 1995 enzi za mrema utasadifu hoja yangu.
 
Mkuu kaoge uje ule halafu upande kitandani. Umeandika mapovu matupu, kaa chini uandike mambo yanayoingia akilini.
 
Utaratibu wa kura za maoni CCM umebadilishwa kumbuka hilo..majina yote ya wanaoomba kukiwakilisha chama kwenye uchaguzi kabla ya kura ya maoni kamati kuu itapitisha majina 2 au 3 tu kwa ajili ya kupigiwa kura ya maoni..hilo unalosema linaweza lisitokee.
 
Achani kuaribiana aisee huu ni mwaka wa mavuno,hat waspo pita watakua wakuu wa wilaya na mikoa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…