Waliohamia CCM hiki ndicho kitawapata!

Mkuu umeongea jambo
 
Mfano mmoja aliyewahi kuwa makamu m/kiti wa chadema taifa alilubuniwa 2015kwenye uchaguzi akahamia ccm matokeo yake amepotea kabisa nadhani huko aliko anatamani kuwa makamu m/kiti wa chadema dhambi ya usaliti mbaya sana.
 
Cheza na vitu vingine usicheze na CCM
 
Ulivonza na "1" nkajua una flow hio moja nzuri, niache menu hapa nisome, 😀😀

Haya bhana lakini tukumbuke kosa halipo kwa wanasisasa wowote
 
Ulivonza na "1" nkajua una flow hio moja nzuri, niache menu hapa nisome, 😀😀

Haya bhana lakini tukumbuke kosa halipo kwa wanasisasa wowote

Ukajua zipo nondo nyingine zinakuja? 😀😀😀 Mimi mwenyewe nilijishtukia sema nikaamua kuacha tuu
 
Ningepewa fimbo na kupewa ruhusa ni watu gani niwachalaze viboko ... wala nisingefikiri sana ... ni hawa wahamiaji wa vyama vya siasa ili hali ni viongozi tayari
Ukoloni mamboleo sio lazima utoke nchi za kibepari tokea ughaibuni bali vyama vyetu vya kisiasa tulivyoanzisha sisi wenyewe.
 
Mkuu katika siku uliyosema kweli leo ni katika hizo siku. Sina hakika kama wenyewe wapo.
 
Peleka uwongo wako huko!
Hujui unalo ongea nyumbu kuu walahi!
 
Jakajeusi: hili bandiko lako niliishaliona na kulisemea. Hakika Tena kwa asilimia zote hawatapata nafasi Wala kupitishwa na hapo ndipo itakuwa mwisho wao katka safari ya siasa.

Two years remain to general election 2020.
 
Shukrani Mkuu. Unawashauri nini waliobaki?
 
Watapata tabu sana wameamua kuacha mbachao kwa msaala upitao
 
Shukrani Mkuu. Unawashauri nini waliobaki?
Waachane na fikra za kuhama vyama vyao. Wabaki huko huko waje wanyolewe huko huko haitakuwa na athari kubwa Sana kuliko kuenguliwa kwenye kura za maoni.
 
pia idadi ya wapiga kura itapungua sana ukilinganisha na ile ya 2015, sidhani hata kama watafika 3m, mimi sipigi kura za kijinga kama ccm wanavyotaka
 
Umeeleza vizuri sana .Hebu tuambie pia nini kitawapata wale waliohamia CHADEMA wakati wa mafuriko ya mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2020.
Dah...wale waliokatwa mikia?[emoji41]
 
Nyie CCM hamuijui vizuri, kura za maoni watapita hata kwa mbinde, acha kujidanganya
 
Hawa hawana tofauti na fisi, fisi umnyemelea binadamu anapotembea akidhani ya kwamba kwa mwendo wa binadam na mwendo wa kuchezesha mikono, basi huenda mikono hiyo itachomoka na kudondoka hivyo yu karibia atapata kitoweo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…