Walioguswa na tumbua tumbua watakuwa wameshasahau 2020

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
44,161
82,252
Najiuliza walioguswa/watakaoguswa maana bado ndio kazi inaanza na mtikisiko wa TUMBUA TUMBUA wa awamu ya tano, ikija kufika 2020, watakuwa wamesahau na kutoa kura zao kuwa HAPA KAZI TU!

Just for curiosity!
 
Najiuliza walioguswa/ watakaoguswa maana bado ndio kazi inaanza, na mtikisiko wa TUMBUA TUMBUA wa awamu ya tano, ikija kufika 2020, watakuwa wamesahau na kutoa kura zao kuwa HAPA KAZI TU!....
Just for curiosity!
Mkuu ngoja nikacheke kwanza sijui umewaza nini aisee!! Kuna kaukweli maneno hayo
 
Kwani umesikia kura zile mnazopiga ndizo hizo anazopata muheshimiwa?
 
Mkuu ngoja nikacheke kwanza sijui umewaza nini aisee!! Kuna kaukweli maneno hayo
Just imagine kila aliyetumbuliwa akishawishi watu 100 or so nyuma yake ?????????????? watumbuliwa watakuwa ni wangapi mpaka mwisho? .... say 100,000 , kila mmoja aje na 100 or so......... even less than 100.....
 
hili nalo ni neno jingine!! kuna uchafuzi wa matokeo kwenye matokeo ya uchaguzi
Kwa hiyo mjipange kujiandaa na hilo.

Tanzania kuna wataalam wa CCM walikodiwa mpaka kwenda kufundisha Zimbabwe kwa Mugabe jinsi ya kupindua matokeo ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom