Waliofutwa kwenye historia ya Tanzania.

Waliofutwa kwenye historia ya Tanzania.

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
10644825_1498063010442819_4965634113060198741_n.jpg


Baadhi ya watu wanaoonekana picha hii ya siku ya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar, wamefutwa kwenye historia ya nchi yetu. Kipindi Mwl. J. K. Nyerere na Sheikh Abeid Karume wanasaini hati ya makubaliano ya muungano, walikuwepo viongozi wa serikari ya Jamuhuri ya Tanzanyika na Serikali ya mapinduzi Zanzibar.
Tanganyika:
Oscar Kambona, Job Lusinde na Bhoke Munanka.
Zanzibar:
Abdallah Kassim Hanga, Abdulaziz Twala na Ali Mwinyigogo.

​
 
Back
Top Bottom