Wanaukumbi.
Tujulishane waliofuatana na EL UKAWA.
1. Ole Medeye aliyekuwa mbunge wa ARUMERU MAGH.
2. Regina Lowassa...
Wataje...
.....UPDATE....
-Madiwani 20 wa ccm Monduli.
-Madiwani wa Ccm Shinyanga.
-Ester Bulaya.
-James Lembeli.
-Diwani wa Moshono na Viongozi wa ccm kata Terrat.
- Madiwani wa ccm kahama.
- Meya wa zamani wa jiji Arusha na diwani wa baraa Paul Laiser.
Tutawaletea madume mengine YA mbegu.mnahitaji mangapi vile?
Anna Laizi unapenda madume eee
Kama wewe ni mwanachama wa CCM, mnashauriwa kuunda kikundi cha watu ishirini(20), mnachoma moto card za CCM mnapiga picha halafu hizo picha mnazipost kwenye group kubwa la safari ya matumaini na group la ukawa, hii ni kuonyesha uzalendo na kukiondoa chama nguli kilichoendesha nchi kwa mabavu,dhuluma kwa kipindi cha zaidi ya miaka hamsini(50).Sisi wanachama wa chama cha mapinduzi tumedharauliwa na kudhalilishwa sana na uongozi wa chama kwa kitendo cha kuondolewa jina Lowasa mtia nia tuliyekua tunamuunga mkono kwa wingi.Hakuna demokrasia yoyote uliyotumika kumpata mgombea wa uraisi kupitia chama.NAWASILISHA WANA JUKWAA NA WAPENDA UZALENDO NA DEMOKRASIA.
Ahahahaaa Greatthinker huyoo....ahahaa
Mkewe slaa
Yatakuwa mafuriko wakuu, tuvute subira tu......CCM hawataamini kitakachotokea.
Mafisadi wote
Fisi wote
Viongozi wetu! acha zako viongozi wa fuata upepo wasio jitambua hapo sawa uniambie DJ mm awekiongozi wangu du!Hivi nyinyi watu wa zzk mbona mnapenda sana kudhihaki viongozi wenu wa nchi hii?
Usimsahau kikwete akistafu uraisi atajiunga ukawa