Waliofariki ajalini wasimulia......

Sasa hapo tatizo liko wapi, umeisoma hiyo habari au umekupuka kuposti tu
 
mbona yupo sahihi kulingana na contents alizoandika, soma kwanza utamuelewa anachomaanisha.
 
hawa hawana utaalam na habari za hiv wao size yao in kikuku cha dai au heleni za sepenga basi kwa hiyo wasilaumiwe kwa chochote
 
Kuielewa vizuri hyo habari ni mpaka usope hyo title apo juu"saa tisa usiku kitandani kwangu" kwa hyo labda mwandishi alitaka tusome habari hyo kutokana na muktadha huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…