mustaphahamisi
Member
- Sep 4, 2016
- 36
- 21
Apoo wauguzii mmmhhAngalie hapo
Yap mkuu ndo ivo yan ,,Tatizo private hawataki kuajiri wanasema serikali ikitoa tutawakimbia inamaana serikali imebeba hatma ya maisha ya watu halafu wamekalisha tu WANAHARIBU MAISHA YA WATU TU.. na kwa system walizoweka watu hawatoweza kwenda kusoma mpka wawe kwenye system upuuzi gani huu wa hii nchi
Lugha hyo inatokana na hasira watusababishiazo ujinga sana wa hii nchi aiseeKwa lugha hii ya mtumishi mtarajiwa wa afya!!!