Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 15,799
- 28,467
Parachichi Njombe na Mbeya na Iringa kidogo Ila baba lao ni Njombe.Wapi unalima parachichi mkuu na mashamba yanapatikana huko.
Parachichi Njombe na Mbeya na Iringa kidogo Ila baba lao ni Njombe.Wapi unalima parachichi mkuu na mashamba yanapatikana huko.
Parachichi hivi karibuni wakulima wamekula shavu sana, yasije kuwa yale ya korosho na mbaazi huko mbeleniParachichi Njombe na Mbeya na Iringa kidogo Ila baba lao ni Njombe.
Hongera, unalimia maeneo gani mkuuHekari 10 Gunia 33?
Umeunderperform mkuu...
Hekari Tatu Gunia 50 Tena naona nimezingua...
Songwe wilaya ya ilejeHongera, unalimia maeneo gani mkuu
Yap wanalima hybrid ....kwa ndani hayana soko naona watu wengi wanayaepuka hapo NI mazuri na matamuParachichi Njombe na Mbeya na Iringa kidogo Ila baba lao ni Njombe.
Habari mkuu napata wapi mbegu ya mahindi ya popcornFaida ipo shida ni kutokuwa na consistence katika kufanya jambo , leo unalima hiki kesho kile , keshokutwa kile.
Kwa uzoefu wangu niliwahi kulima mahindi ya pop msimu wa kwanza nikawa nimechelewa yakawa hayako katika standard nzuri nikayaunza wenyewe kwa kuchoma bis nikapiga hela nzuri tu ila msimu uliofuata nikayapanda kwa wakati na kuzingatia abc zake nikatengeneza pesa ambayo sikuitegemea kabisa tatizo likawa ni kwamba nililima kiasi kidogo sana kuliko msimu wa kwanza yaani nikabaki naombwa mzigo najificha
Ipo hivi pia kilimo bila kuwa na stoo kitakutesa na utaona hakilipi ila kinalipa vizuri tu ni suala la kuwa na akili nzuri tu ya kufanya jambo sahihi kwa wakati sahihi.