Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,312
- 113,901
Ukipata mchumi wa ukweli akupigie mahesabu ya lost productivity, lost fuel, lost time etc na kukupa impact kwenye pato la taifa hapo unaqeza kulia.
Hao wahusika wa huo ujenzi wapuuzi sana. Barabara yenyewe ukiiangalia wala haina challenges zozote zile. Yes, kuna sehemu kuna daraja lakini lile si daraja lakuchukua miaka kulijenga.
Barabara yenyewe ni straight-shot kutoka maeneo ya Mwenge mpaka Tegeta. Haina cha exit ramps wala diverging diamond interchange ambazo walau mtu unaweza kuelewa kama ujenzi wake ni wa polepole.
Ni kero tupu kwa watu wanaoishi pande hizo hususan siku za kazi.