Anzisha huo uzi na Mimi nitakuja kucomment ila kwasasa hiv tujikite kwenye hii hoja.Baada ya huu uzi Naomba tuanziahie mwingine kuhusu lavalava. Hivi analeta faida pale wasafi?
Sio lazima waende sehemu nyingine lkn kiba awaachie madogo wafanye mziki hiv umeona underground gani wanatoa ngoma moja au mbili kwa mwaka?Kwahiyo ulitaka waende wapi mkuu?
Anzisha huo uzi na Mimi nitakuja kucomment ila kwasasa hiv tujikite kwenye hii hoja.
Sasa wale ni wanamziki au wanamapambio ebooooooooooooh be carefully with your heartMadogo ambao wapo chini ya Kings Music ya Ali Kiba walikosea sana kwenda huko coz Kiba hajui kuongoza vizuri na pia hajui kuwapa promotion at the right time.
Angalia sasa wamekalishwa benchi muda mrefu bila kutoa ngoma wakati ndio kwanza ni wasanii underground.
Kama Kiba ameishiwa mashairi ya kutoa ngoma awaachie madogo wafanye muziki.
Anataka hao madogo wale nini wakati 98% wanategemea muziki?
Hili lidada alijielewi sasa unamfananisha lavalava na hao mashoga zako ebooooooh be carefully with your heartBaada ya huu uzi Naomba tuanziahie mwingine kuhusu lavalava. Hivi analeta faida pale wasafi?
Liache hili ni limiyeyusho tuAnzisha huo uzi na Mimi nitakuja kucomment ila kwasasa hiv tujikite kwenye hii hoja.
Tatizo umeingiza topic haihusiani na madaTeam kujipendekeza unaogopa kumuudhi boss ee?
KalaleTeam kujipendekeza unaogopa kumuudhi boss ee?
Kalale
Tatizo umeingiza topic haihusiani na mada
Hili lidada alijielewi sasa unamfananisha lavalava na hao mashoga zako ebooooooh be carefully with your heart
Numbisa unaonaje ukaja ghetto kwenye kipindi Kama hichi tupige story.Team kujipendekeza unaogopa kumuudhi boss ee?
Kule kwa wiz nilimjibu mtoa mada baada ya kusema wabongo tunakwama wapi?so sikuingiza mada mpya.Kule kwa wiz ulifanya hivi hivi,kumbe inauma ee