aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,345
- 2,259
wale watu waliojaza Barbara wote ni nchi jirani?Dola ilijua, ndiyo maana palikua na movement ya vyombo vya usalama,na wali-note raia nchi jirani wakiingia, ndiyo maana JF ilifungiwa, viongozi chadema walitiwa korokoroni,they knew,wakaandaa na strategy ya kukabili,mama akajiandikisha Dodoma
Serikali ina vyombo vya kufuatilia,we nyoa vaa pedi,kuna mkenya kauawa ubungo kwa risasi, social media za kenya zinaripotiwale watu waliojaza Barbara wote ni nchi jirani?
kweli mwanamke akiwa na roho mbaya anakuwa narohomabaya kweli.ndiomana mnawatupaga watotowenu wachanga kwenye vyoo nawewe itakuwa nimojawapo wa wale wanaotupaga watoto mdangaji mkubwa wewe
Yeye si Amiri jeshi mkuu angekuja uwanja wa uhuru aapishwe vizuri mbele ya wapiga kura wake waliomchagua kwa kishindo.Kichochoro kina barabara 2x2!?..si mngeenda, mbona siyo mbali
kwahio waandamanaji walikuwa wakenya wewe mjinga?Serikali ina vyombo vya kufuatilia,we nyoa vaa pedi,kuna mkenya kauawa ubungo kwa risasi, social media za kenya zinaripoti
So sheli ina thamani kuliko uhai wa mtu?Ukihatarisha usalama wa nchi,utaingizwa wewe kwenye hatari
hao watu wameuwawa na nani?Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Jifunze kiswahilikwahio waandamanaji walikuwa wakenya wewe mjinga?
jibu maswali wewe mdangajiJifunze kiswahili
Akili hamna, ndiyo maana mnapelekwa tu kama ng'ombeSo sheli ina thamani kuliko uhai wa mtu?
SAYNGAYNyi wakosa adabu mtaendelea kuoneshwa serikali ni nini, nadhani mmeijua sasa..unahamasishwa na mdangaji yuko marekani,eti jeshi lipo na wananchi!
Kila siku unajiliza Israel inavyo peleka moto kwa waPalestina ila huku unaona ni sawa hahaha binadam kweli kiumbe wa ajabuWatu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Umejibu swali au umeonesha ulivyojaa kinyesi kwenye ubongo wako?Akili hamna, ndiyo maana mnapelekwa tu kama ng'ombe
Wa kushughulikiwa ni DGIS,IGP na CDF.Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Kwenye hii miaka mitano Mama asiwachekee hawa wahuni. Iwe bendera chuma mlingoti chuma.. alikosea sana kuanza utawala wake kwa kuwabembeleza kupita 4R zake. Magufuli aliwajua hawa wachumia tumbo ndo maana aliwapelekea moto.
Kwahiyo kipi mlichotibu hadi hapo?Unamdanganya nani, vurugu zimeanzia ubungo kimara,na polisi walikua watulivu pamoja na jeshi,saa nne sheli imechomwa shekilango
Shilole ni fisadi, basement ni fisadi,billnass fisadi?..huyo fisadi huo ufisadi wake ulithibitisha vipi?..kuchoma Mali zake ndiyo sheria?..kama hufuati sheria kwa nini usishughulikiwe kihuni bila kufuata sheria?
Watu wakichoma ofisi za tra,watazamwe tu Ili wachome bank kuu, ofisi ya mkuu wa mkoa, hospital, ikulu,bandari..huo siyo uhujumu?
Ila japo tupo kwenye huzuni lakini nimecheka sana, Rais kaapishwa huko uani (Mafichoni).Nyi wakosa adabu mtaendelea kuoneshwa serikali ni nini, nadhani mmeijua sasa..unahamasishwa na mdangaji yuko marekani,eti jeshi lipo na wananchi!
Na waliosababisha huu mtindinganyo wao wanyongwe, hawa sio wengine bali ni wale waliotuletea uchaguzi wa. kiini macho.Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa