QmmmakoWatu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Mamaako ana hotpotQmmmako
QmmmakoMamaako ana hotpot
Jibu swali, ulitaka vurugu zidhibitiwe vipiInakupasa uifahamu lugha.
Mtume anasema: Manistaraqqa wamanistawa wapo mbali na kumtegemea Allah!
Yaani, anayetibu na anayetibiwa wapo mbali na kumtegemea Allah!
Hii ni hadithi sahihi!
Umeelewaje hayo maneno? Na unafafanuaje?
Hoja zako zinajikita kwenye masuala ya udini na unashikwa na upofu na kuchupq mipaka ya kushindwa kuitambua haki.
hatuongei mara 2, ukililia wembe utapewaUmshauri nani wakati wote ni wahanga tu wewe kuiogopa au kuiheshimu serikali haikufanyi kuwa salama tofauti na wengine, tazima mauwaji ya polisi waliyoyafanya hawakuangalia nani anahusika na vurugu wala nani anaheshimu serikali.
Polisi hawajui nani kalilia wembe na nani hajalilia ndio maana wameuwa hadi waliyokuwa wamekaa na familia zao nyumbani hawakuhusika kabisa na vurugu, hakuna aliyesalama kabisa usijidanganye mkuu.hatuongei mara 2, ukililia wembe utapewa
izi excuse za eti watu walikua ndan tushazichoka, wewe mbna hawajakuuaPolisi hawajui nani kalilia wembe na nani hajalilia ndio maana wameuwa hadi waliyokuwa wamekaa na familia zao nyumbani hawakuhusika kabisa na vurugu, hakuna aliyesalama kabisa usijidanganye mkuu.
Kawaulize hao wauwaji wenyewe kwa nini wameniacha mimi ila wakaenda kumuuwa Sheikh Sharifu majini au utasema sharifu majini naye alikuwa anaandamana ndio maana akauliwa?izi excuse za eti watu walikua ndan tushazichoka, wewe mbna hawajakuua
basi chukua sumu apo piga walikusahau na ulikua unataka kukata motoKawaulize hao wauwaji wenyewe kwa nini wameniacha mimi ila wakaenda kumuuwa Sheikh Sharifu majini au utasema sharifu majini naye alikuwa anaandamana ndio maana akauliwa?
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Mama mwenyewe kura kaiba, eti kura ml 32 na alivyo mjinga anapongeza tumeKwenye hii miaka mitano Mama asiwachekee hawa wahuni. Iwe bendera chuma mlingoti chuma.. alikosea sana kuanza utawala wake kwa kuwabembeleza kupita 4R zake. Magufuli aliwajua hawa wachumia tumbo ndo maana aliwapelekea moto.
Mimi nataka kuishi milele kama wewe.basi chukua sumu apo piga walikusahau na ulikua unataka kukata moto
december kafanye fujo utaishi mileleMimi nataka kuishi milele kama wewe.
Mbona wapo wengi tu waliyofanya fujo na wengine wakakamatwa tu hawakufa na wengine wapo mtaani kama kawaida. Ila kuna wasiofanya fujo na bado polisi wakawapeleka kwenda kuishi nyumba ya milele, kwahiyo mkuu hiyo december nakushauri usikatize mbele ya polisi.december kafanye fujo utaishi milele
Hakuna mtu aliyepambana na askari,sisi tunapamba na mafisadi, watekajiNk.Askari ndo walikuwa wanapambana na sisi.samia kalaaniwa kwa kumwaga damu za watanganyika na atakipa kwa damu yake kwani damu hulipwa kwa damu.Maandamano kwenu ni kufanya uhalifu halafu mnakuja kujiliza kipumbavu. Unapoenda kupambana na askari mwenye bunduki unategemea nini?
mm napokaa hakuna alieuliwa kwa kutoka nje, wananchi walikua wanaendelea na mishe zao na hakuna alieuliwaMbona wapo wengi tu waliyofanya fujo na wengine wakakamatwa tu hawakufa na wengine wapo mtaani kama kawaida. Ila kuna wasiofanya fujo na bado polisi wakawapeleka kwenda kuishi nyumba ya milele, kwahiyo mkuu hiyo december nakushauri usikatize mbele ya polisi.
Acha uongo wewe labda upo nje ya Tanzania, nani alikuwa anaendelea na mishe zake wakati nchi ilichafuka?mm napokaa hakuna alieuliwa kwa kutoka nje, wananchi walikua wanaendelea na mishe zao na hakuna alieuliwa
sehem nyingi tu shuhuli zilikua zinaendelea kawaida, limitation ilikua main road tu, alafu waliokua wanasumbua hawakua wengi ivo unavodhan ilikua ni vikundi vidogo vidogoAcha uongo wewe labda upo nje ya Tanzania, nani alikuwa anaendelea na mishe zake wakati nchi ilichafuka?
Sasa hapo huwezi kusema watu waliendelea na shughuli zao kama kawaida kama ilikuwa huwezi kuingia main road, sema shukuru huko unapokaa ungekuwa mjini mjini ndio ungeelewa hali ilivyokuwa.sehem nyingi tu shuhuli zilikua zinaendelea kawaida, limitation ilikua main road tu, alafu waliokua wanasumbua hawakua wengi ivo unavodhan ilikua ni vikundi vidogo vidogo