mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,344
- 12,472
Tuliupoteza Ubingwa kwenye sare ya Coastal na Sare ya Fountain gate.1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam)
2.Kijiri( vs Yanga)
3.Chasambi (vs Fonten gate)
4. che Malone( vs Azam)
March 8 timu ilikuwa timamu na Yanga ilikuwa down ule upumbavu walifanya viongozi umewatokea puani1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam)
2.Kijiri( vs Yanga)
3.Chasambi (vs Fonten gate)
4. che Malone( vs Azam)
Mangungu muweke kwenye listi1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam)
2.Kijiri( vs Yanga)
3.Chasambi (vs Fonten gate)
4. che Malone( vs Azam)
Simba imefungwa kama timu.1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam)
2.Kijiri( vs Yanga)
3.Chasambi (vs Fonten gate)
4. che Malone( vs Azam)
lakini wataishia makundi sioKushindwa kuchukua kombe msimu huu kwa Simba ni kosa kubwa sana maana msimu ujao yanga itakuwa Bora sana kuliko hii
Uwezekano wa kuwa na unbeaten ligi nzima ni mkubwa
Mwakani tunaitafuta top four pale juu endelea kufatilia hadi 2028 yanga anacheza finallakini wataishia makundi sio
mpira wa yanga ni wakienyejiMwakani tunaitafuta top four pale juu endelea kufatilia hadi 2028 yanga anacheza final
Eng hersi alipoenda kujifunza kule US kwenye world cup ya vilabu Simba walikuwa wanaprint barua ya wizara ya michezo ya Kutumia uwanja kwa ajili ya mazoezi trh 14
Na waliochangia kufanikisha kushika nafasi ya pili ni1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam)
2.Kijiri( vs Yanga)
3.Chasambi (vs Fonten gate)
4. che Malone( vs Azam)
simba vs yanga1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam)
2.Kijiri( vs Yanga)
3.Chasambi (vs Fonten gate)
4. che Malone( vs Azam)
Kufukuzwa sio kosa ila waambiwe yeye na Camara makosa Yao ndio yameigharimu timuTuliupoteza Ubingwa kwenye sare ya Coastal na Sare ya Fountain gate.
Chasambi afukuzwe
Hapo nimeainisha major individual mistakes mifano ya chasambi dhidi ya Fauntan gate linaweza kuwa kosa la timu?? Au magoli aliyofungwa Camara dhidi ya coastal si uzembe binafsi?Simba imefungwa kama timu.