Waliochaguliwa vyuo vya ualimu

Waliochaguliwa vyuo vya ualimu

dedam

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
845
Reaction score
166
nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda udom lakini hawajamwandikia anaenda kusoma course gani kule lakini kwenye maelezo yao kwenye website ya nacte wamesema unaweza kudownload form kupitia website zifuatazo www.moe.go.tz au www.nacte.go.tz. sasa nimezitafuta hizi fomu zisioni mwenye ujuzi anielekeze nizipataje?
 
NINA MDOGO WANGU BAADA MATOKEO YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALMU KUTOKA EMAIL YAKE IKAWA NA MATATIZO HIVYO AKASHINDWA KUPATA PASWORD ALIYO TUMIWA WAKATI WA KUTUMA MAOMBI HIVYO AMESHINDWA KU-LOG IN KWENYE PROFILE YAKE ILI KUJUA AMECHAGULIWA CHUO GANI NIMEJARIBU KUWAPIGIA CENTRAL ADMISSION HAWAPATIKANI NAOMBA MSAADA WENU WADAU TAFADHALI JINSI YA KUTATUA HILI TATIZO
 
Nitumie index no yake ya form four na mwaka aliomaliza 0758494651
 
1475161468800.png
 
  • Thanks
Reactions: ELX
Back
Top Bottom