SUA= Sokoine University of Assignment.
Ukileta ubishoo badala ya kusoma unakusanya virago semister ya kwanza.
Mm ndo naenda kuanza mwaka huu.
Jamn wapendwa mm nmechaguliwa SUA course ya Family and Consumer Studies lakin cjui inahusiana na nn na kazi zake ni zipi. Naombeni ufafanuzi
Ahsante mkuu kwa ushauri wako,lakini kipindi wewe unasoma ulikuwa hauingii humu jamiiforum?