Nlivokua nasikia msuli wa sua noma nlijua masihara ila sasa nimeanza kupata picha wana sua wenzangu ingia
Welcome to Sokoine University of Agriculture (SUA) kwenye admission and examination requirements ujionee mwenyewe,na wale wenzangu wa BVM sisi ndo tunakazi ngumu kuliko kila kitu except bvm chekini na nyie mpate picha ya huo mziki ila nlichofurahi degree ya BVM haina grade/class!