Hongera sana dogo,lakini hiyo kozi si lelemama inatakiwa ukomae,pale kuna miprofesa haitaki mizaha kabisa.Nilisoma SUA pia lakini si kozi hiyo lakini nilikuwa naona vijana wanavyohangaika.Lakini uzuri wake wakimaliza chuo huwa hawakai mtaani wana ajira za wazi tena zisizo na competition. Hongera sana!!