Last sentinel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 267
- 108
Za mchana wanajamii forums,nilikuwa naulizia kama kuna mtu amechaguluwa hiki chuo,kwa sababu nimepigiwa simu leo wakasema nimechaguliwa nisubilie joining instruction nitatumiwa kwenye e-mail
Nacte nao wametoa?? Embu angalia akaunt yako unijize na mimiZa mchana wanajamii forums,nilikuwa naulizia kama kuna mtu amechaguluwa hiki chuo,kwa sababu nimepigiwa simu leo wakasema nimechaguliwa nisubilie joining instruction nitatumiwa kwenye e-mail