MTU HUYU ALIPIMA HIV na watalamu wa maabara mkoa fulani,akaambiwa NEGATIVE.Kafika kwake/kwao alipouliza pale ndani ya familia akaambiwa,maana ya NEGATIVE ni kwamba umeathirika na UKIMWI.hivi watalamu wa sayansi ndo nini kuongea kingereza hata kwa wanakijiji.nimauaji mangapi yanatokea kwa kutokuwa na mawasiliano mazuri na mteja.tuwe nambinu za mawasiliano kwa kumwangalia mteja na uelewa wake.