Waliochaguliwa Ruaha university mwenyeji wenu uyu apa.

Mi nimesema mwnyej izo habar za udean nadhn ni harakat zako tu za kiuchambuz.
 
SASA MKUU KUNA JAMAA amepangiwa hapo...ila kwenye join instr wameandika ada ni karibu milion 3!! sasa hii inakuaje maana jamaa hakuapplly mkopo,na home ndo kama vile tena....ye kapangwa comp science ...embu nieleweshe hapo?? na nyie mnalipa sh ngap??
 
mwenyeji wangu hii bachelor of enviromental health sciences with IT inahusika nanini?
 
MTU HUYU ALIPIMA HIV na watalamu wa maabara mkoa fulani,akaambiwa NEGATIVE.Kafika kwake/kwao alipouliza pale ndani ya familia akaambiwa,maana ya NEGATIVE ni kwamba umeathirika na UKIMWI.hivi watalamu wa sayansi ndo nini kuongea kingereza hata kwa wanakijiji.nimauaji mangapi yanatokea kwa kutokuwa na mawasiliano mazuri na mteja.tuwe nambinu za mawasiliano kwa kumwangalia mteja na uelewa wake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom