Kwani masomo magumu kiongoz eenhSafi jiandae kula msuli tu kijana ..maana shule ya pale si haba
diploma tu unamwambia hivyo angekuwa MD je?Muscle muscle muscle
Kutoboa kutoboa kutoboa
Desa desa desa.
Andaa ATP za kutosha.
Kila la heri mkuu.
masomo siyo magumu,kigumu kichwa chako.Kwani masomo magumu kiongoz eenh
Tunampa maandalizi makubwa ili pawe slope.diploma tu unamwambia hivyo angekuwa MD je?
Wewe una ngap? ilo kufanya ukoseuna ngapi mkuu?? mana Mimi nimekosa
Wewe una ngap? ilo kufanya ukose
Dv 1 points 15 mkuuuna ngapi mkuu?? mana Mimi nimekosa
Mhhhh mkuu hata sijui mieKwa hiyo utaenda kukaa zile hostel chafu za MTC,?
Hongera kwa kuchaguliwa chuo kikuu bora cha afya TanzaniaTukiwa tunasubiri joining instruction tupeane mawili matatu kwa wote tuliochaguliwa hapo na hata pia wazoefu wa chuo hicho waliowah kusoma.....
.....Binafsi mm nmechaguliwa diploma ya medical laboratory science but sijajua kuhusu mambo ya joining instruction pamoja na admission letter napataje mana nilienda wakaniambia ntaletewa message lakn mpak leo naona kimya.... .Nafikiri watakua kwenye process ya kuziandaa.
Nawasilisha
Asante sana kiongoz kwa ushauri ila nachouliza ni kuwa........kwan waweza kuwa umechaguliwa na jina lako lisiwe released baada ya kukaguliwa na hao senate ama........maana umenishtua kidogo uliposema bado sijachaguliwa muhimbili..Hongera kwa kuchaguliwa chuo kikuu bora cha afya Tanzania
Kuhusu Admission leter kwa sasa wew bado hujachaguliwa rasmi Muhimbili mpaka jina lako litakapopitishwa na senate ya chuo...ndio mana unaona ata kwenye website ya MUHAS majina hayapo..senate ita release majina yote na wale wa Degree na Admission letter ndo zitakuw zimetoka
Unapofika muhimbili shika haya
Ukipata SUP 3 katika mwaka mmoja wa masomo Umedisco hata kama una first class gpa
Ushirikiano na wenzio kitu cha muhimu ukijifanya unakomaa mwenyew itakula kwako
Uvivu mwiko unavipindi vya darasani,practical na clinical rotations
Kama una swali uliza...
Inatokeaga lakini kama umeshapenya competition ya nacte basi ushapata toa hofuAsante sana kiongoz kwa ushauri ila nachouliza ni kuwa........kwan waweza kuwa umechaguliwa na jina lako lisiwe released baada ya kukaguliwa na hao senate ama........maana umenishtua kidogo uliposema bado sijachaguliwa muhimbili..
Nahitahi ufafanuzi kidogo hapo mkuu!!!!
Anhaa okay nmekuelewaInatokeaga lakini kama umeshapenya competition ya nacte basi ushapata toa hofu