uroto
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 445
- 231
ambokile baraka , ordinary diploma in primary education ( science)
mkuu naomba nichekie s.0964/0009
ambokile baraka , ordinary diploma in primary education ( science)
Zafri juma ntandu m s0924/0069
ikungi ordinary diploma in secondary education (chemistry/ mathematics)
earch Results [Total 0 Result(s) For "S0964/0009"]
Vp kuhusu wale walo apply kupitia nacte ambao walimaliza 4 miaka ya nyuma
mkuu bora umeileta hii thread make watu tumechaguliwa lakn hatujui utaratb unakaaje mwenye kufaham atujuze vp kuhusu mahitaj muhm na nlskia kuna mkopo sielewi unatolewa vp na kwa kpnd gan mfano siku,wiki,mwez au mwaka? na atujuze kuhusu maisha ya college kiujumla kuanzia makazi(hostels) na chakula utaratib wa kupata chakula ukiwa chuon mfano utanunua chakula,utajipikia au ni kila mtu kula alikopeleka mboga? duuuh!!! ni shda kwel mwenye kujua atujuze na cc na vp kuna kuvaa sare au ni randomly!!!!!!
duh vi form four mpo vingi....
ikiwa hvyo inamaana hajachaguliwa?
yah! hajachaguliwa