Waliochaguliwa chuo kikuu cha sayansi na teknology (must)

Waliochaguliwa chuo kikuu cha sayansi na teknology (must)

jamani kwa wale wa must nmepata BBA ILA UKICHEK PROSECTUS haina mchanganuo mzuri mm nataka nifanye BBA IN ACCOUNT mwenye taharifa anisadie
 
jamani kwa wale wa must nmepata BBA ILA UKICHEK PROSECTUS haina mchanganuo mzuri mm nataka nifanye BBA IN ACCOUNT mwenye taharifa anisadie

ni mwanachuo wa must.
course za pale ziko very general kama civil ni civil tuh.. electrical na electronics.. nahis BBA itakuwa ipo hvo BBA Tuh! karibu sana MUST
 
wakubwa wa chuo cha Must naomba mtupe information kuhusiana na chuo chetu cha Must
 
Nipo civil eng. must wale wenye ufahamu na hiyo fakat naomba muongozo jaman
 
vp kuhusu course ya mechanical engineering hapo MUST wakuu
 
Back
Top Bottom