Walioapply TANESCO, Customer Relation Officers

Walioapply TANESCO, Customer Relation Officers

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Habari!!

Kwa wale walioapply Nafasi Hizi za Kazi zilizotolewa Tarehe 19th August, 2014.Tupeane Updates Hapa kama wameshaita kwa ajili ya interview n.k

Ahsanteni
 
Kama hizo post zilikua za mwezi wa nane kua mpole tu kaka hao jamaa baada ya miex miwil au mitatu ndo wataita si kuna post tuliapply mwezi wa sita ndo tumeitwa kufanya this coming week
 
Kama hizo post zilikua za mwezi wa nane kua mpole tu kaka hao jamaa baada ya miex miwil au mitatu ndo wataita si kuna post tuliapply mwezi wa sita ndo tumeitwa kufanya this coming week

Ohoo.....ahsante ndugu yangu...sikuwa nafahamu hilo sasa nimelijua!!
 
samahani hizo nafasi za mwezi wa sita ni zipi hizo, kwa sababu mi niliomba, zile za light current engineeer mpaka leo sijapata jibu,
 
hata mm pia niliomba nikajua nshachingiwa baharini
 
*if you haven't heard from us count yourself unsuccessful..."
 
Hv kwan waliofanya oral kwenye nafas hyo ya customer relation o,, wameshaingia mzigoni????
 
Hawana tofauti na BOT,utashangaa unaitwa hata baada ya miaka miwili.
 
Back
Top Bottom