GE2025 Walioandamana walitoka nje yaani Zenj

GE2025 Walioandamana walitoka nje yaani Zenj

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,981
Reaction score
13,469
Kama walioandamana si watanzania, basi hakuna watanzania. Basi, huenda walitoka Kizinkazi. Who knows?
 
Zanz wote rojorojo, hakuna wa kuandamana.


Watanganyika ndio walioandamana, waache kuendelea kututengenezea fikra kwamba hatuwezi kujipambania.
 
Ni kamba mbuni anavyojificha, kichwa ndani ya mchanga mwili wote nje alafu anahisi haonekani...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom