Wanafunzi wa UDSM wanapaswa kupaaza sauti kupinga kitendo walichofanyiwa wenzao wa UDOM na pia Bunge kushindwa kuisimamia serikali katika hili.
Kupewa kwao Boom ni kama Peremende tu za kuzima movement yoyote wakati Rais atakapotembelea
Ni wakati sasa UDSM kurudisha hadhi yake kwa kupinga kwa hoja kabisa mwenendo wa Serikali hii
Rais atataka kushangiliwa lakini muulizeni ni wapi aliona nchi ikiendeshwa hivi zaidi ya Korea ya Kaskazini.
Kama anasema anataka kuleta mabadiliko muulizeni kwa nini asirejeshe katiba ya Warioba maana huko ndiko kulijenga upya Taifa?
Muulizeni kwa bajeti ya Bilioni 81 kwa mwaka ni viwanda gani vitajengwa na kutoa ajira kwenu?
Ninyi pia mmeandaliwa incentives gani ili mkimaliza mjiajiri?
Tena muulizeni maswali hayo kwa Kiingereza.Nawahakikishia hatakasirika kwa sababu mmemuuliza kwa Kiingereza
Mwisho,Msije mkajivua nguo kwa kumshangilia bila kumhoji labda mumshangilie kimkakati halafu mumkosoe. Maana akikubali kushangiliwa pia akubali kukosolewa
Kwa taarifa yako migomo imechangia sana kuweka mambo sawa, vyuoni na hata makazini na mgomo ni haki ya mwanafunzi na mfanyakazi piasafi sana hawo waadhibiwe tena ikiwezekana wafukuzwe kabisa ili iwe fundisho kwamba Chuoni ni mahali pa kusomea na siyo kufanya Siasa
Kwa sasa siasa za namna hii zinafaa mkutano wa hadhara, Manzese au Tandale kwa Mfuga-mbwa, siyo Nkrumah Hall. Kwa kuwa mwaka jana, kwa ubinafsi wenu, kwa kupenda pesa kwenu, kwa choyo chenu, na kwa upendeleo wa kikabila uliopiliza, mliamua kushindwa uchaguzi Mkuu, kuanzia mwaka huu mkome kuwafanya wanafunzi vyuoni kuwa kisingizio au nago ya aibu ya kushindwa kwenu uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.Wanafunzi wa UDSM wanapaswa kupaaza sauti kupinga kitendo walichofanyiwa wenzao wa UDOM na pia Bunge kushindwa kuisimamia serikali katika hili.
Kupewa kwao Boom ni kama Peremende tu za kuzima movement yoyote wakati Rais atakapotembelea
Ni wakati sasa UDSM kurudisha hadhi yake kwa kupinga kwa hoja kabisa mwenendo wa Serikali hii
Rais atataka kushangiliwa lakini muulizeni ni wapi aliona nchi ikiendeshwa hivi zaidi ya Korea ya Kaskazini.
Kama anasema anataka kuleta mabadiliko muulizeni kwa nini asirejeshe katiba ya Warioba maana huko ndiko kulijenga upya Taifa?
Muulizeni kwa bajeti ya Bilioni 81 kwa mwaka ni viwanda gani vitajengwa na kutoa ajira kwenu?
Ninyi pia mmeandaliwa incentives gani ili mkimaliza mjiajiri?
Tena muulizeni maswali hayo kwa Kiingereza.Nawahakikishia hatakasirika kwa sababu mmemuuliza kwa Kiingereza
Mwisho,Msije mkajivua nguo kwa kumshangilia bila kumhoji labda mumshangilie kimkakati halafu mumkosoe. Maana akikubali kushangiliwa pia akubali kukosolewa
huyo mwanafunzi mnyonge anayesubiri ka-boom kumhudumia yeye pamoja na extended family anawezaje kugoma? anapata wapi locus stand? pesa ya shule ni kwa matumizi ya kawaida mwanafunzi anapokuwa shuleni tu. matumizi mengine ni abuse tu. sasa mwanafunzi agome eti kwa sababu hajapewa pesa ya kutuma nyumbani kwa wazazi wake!Miongoni mwa nchi zenye watu wanafki yetu inaongoza. Ulishawahi kwenda chuo wazazi hali zao ni za kawaida na unategemea boom kwanza kulipia ada ili uweze kufanyia usajili, then boom hilohilo ndio liendeshe maisha yako ya chuo, boom hilohilo utoe kidogo utume kwa wazazi ili maisha yao yasonge, then boom hilohilo usaidie wadogo zako, halafu hela hiyo unayoitegemea kwa hali na mali inacheleweshwa kwa sababu zisizo za msingi? Kama hujawahi kuwa katika hali hiyo huwezi jua kwanini wanafunzi wanagoma boom linapochelewa
Mbona vyuo kama Mzumbe hawagomi??? Au wao boom huwa alicheleweshwi?
Kama unafikiri watanzaniq wote wanamaisha kama yako pole sana. Umeenda chuo kweli wewe? Uliza ni wanafunzi wangapi wanshindwa kufanya usajili ili waweze kuingia darasani boom linapochelewa?wewe bogus kweli kweli. huyo mwanafunzi mnyonge anayesubiri ka-boom kumhudumia yeye pamoja na extended family anawezaje kugoma? anapata wapi locus stand? pesa ya shule ni kwa matumizi ya kawaida mwanafunzi anapokuwa shuleni tu. matumizi mengine ni abuse tu. sasa mwanafunzi agome eti kwa sababu hajapewa pesa ya kutuma nyumbani kwa wazazi wake!
Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Kuzilwa alivyokuwa pale alidhibiti sana, yaani ikionekana tu dalili za kugoma alikuwa anatoa tahadhari, hata sasa Prof. Itika anaendeleza nyendo hizo hizo. Huwa kuna manung'uniko lakini wanabanwa na kudhibitiwa. mfano pale huruhusiwi kufanya siasa wala kuvaa nguo ya chama chochote cha siasa ndani ya eneo la chuoMbona vyuo kama Mzumbe hawagomi??? Au wao boom huwa alicheleweshwi?
Ulipomalizia ndio nimepapenda manake kukosolewa iwe na kwenu tatizo nyie ndio mkikosolewa mnarusha ngumi na mnapenda kukosoa tu. Wanafunzi wanatakiwa kuwa kama wanafunzi na kujiandaa kuwa wabunifu katika kukabiliana na changamoto za maisha sasa mkiendelea kuwatumia wengi na kuchagua wachache ndio mnawatunuku vyeo katika vyama vyenu ndio shida ilipo. Katiba ya Warioba mlisusa kwa hiyari yenu na maisha lazima yaendelee, mmevuruga mchakato wa katiba na kuibuka na UKAWA nyie ndio at least imewasaidia wenzenu mmewatumia na mmewaua kisiasa waasisi baada ya gia zenu za angani.
Tatizo lenu raisi mnamuogopa yeye hajawazuia msimpinge sema mnazunguka mara Tulia mara Sukari mara Lugumi, Bajeti ya serikali haijengi viwanda najua unajua sema mnavyotaka kujipendekeza kwa Mbowe hawaone mpo ndio shida. Kujiajiri sio kila mtu anaweza hata mzee Mengi ilimchukua miaka kuanza kujiajiri sasa ukimtwisha JPM wakati kazini hata mwaka hana itakuwa shobo tu.
Wanafunzi watimize wajibu wao hata kama wanakutana na mazingira magumu ndio maisha yako hivyo wachache ndio wako fortunate. Serikali itaweka mazingira rafiki na ukitaka kujua yapo utaona kuna wengine wametusua bila kusubiri na wako mbali.