Mwabhleja
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,351
- 2,061
Ukiitazama video hii na kukumbuka namna kampeni zilivyokuwa zikiendeshwa utapata jibu moja muhimu kwamba kuna wapiga kura wengi waliaminishwa kwamba hakuna fisadi mkuu Tanzania zaidi ya Mhe. Edward Lowassa hivyo akitokomezwa huyo basi nchi itatakata.
Lakini sasa hivi wananchi wengi wameanza kuona nuru mpya tofauti na namna walivyoaminishwa. Hakuna tena dalili za aliyetajwa kuwa fisadi mkuu kushitakiwa na kufungwa. Labda tuendelee kusubiri pengine kuna kikolombwezo kutokana na ule wimbo wetu wa tumejipanga.
Au Mhe. Lowassa siyo fisadi?