Walio wahi kukamatika na simu fake\copy

Walio wahi kukamatika na simu fake\copy

Dah yaan huu uzi bhana...mwishoni mwa 2013 nadhan....nlipigwa copy ya s4...lak 7....kiroho safi...!! Niliinunua kwa mapepe sana....ila baada ya kama masaa mawili hv....simu ikiwa kwenye chaji....akilii ikaanza kunirejeaa.....kutizama vyema nkaona .......!! Asante mjini..!
 
shikamoo matapel wa mjin lak 7 hela ya mrad wa kuku kabisa
 
Vitu vya bei rahisi mara nyingi vinaponza sana
 
laki ngap zilienda ? unakumbuka ulvo furah kuipata, cku unaambiwa n fake ilikuaj

Mkuuu jamaa mwenyewe nilikutana naye humu humu jf..... Anadai anauza note 3.. Basi nikachukua number yake.... Mpaka tukaonana.. Kitu full box.. Laki nne na usheeee... Me nikajua OG.. Basi sikukagua sanaa.... Tunafanya biashara tukamalizana... Kufika home muda ulikuwa ushaenda kama sa mbili hivi,, nikaweka charge after couple of hours nikaitoa kwenye charge maana ilikuwa imeshajaa,, mm ni mpenzi wa picha,, ile kupiga picha ya kwanza... Malue lue.... Duh nilichoka....
 
nimekuwa nkiona kwenye jukwaa la matangazo mtu anaandika anauza copy ya samsung na bado wat wananunua
pia kuna mdau humu alisha wah kuulizia internal memory ya i phone 6 jibu rahs alilo lipata ile ilikuwa fake maana ilikuwa na gb ndogo. sio wote wanao weza kutambua org na copy

mdau mwenyewe ni mimi nilishangaa gb32 ya iphone 6 ikabidi nioji kwa wanao zijua vizuri maana mimi naijua 16,64 na 128 gb
 
Duh hii imenikumbusha majuzi kuna dada ni rafiki yangu amepigwa majuzi galaxy s4 na laki mbili juu niliumia sana maana alipewa galaxy s6 copy akatatoa s4 yake og na laki 2 juu awajamaa wauza copy za cm wanapiga sana hela ndo maana wanashindia kwenye maeneo ya starehe muda wote wako maji
 
Inaweza kuwa rahisi ukilinganisha na bei halisi ya original
Mkuu hao hawauzi wanauza bei karibia ya original kwa kigezo cha originalila imepatikana kimazabe!hapo ndipo mporipori unapoingia chaka!
 
Jamaa yangu akiwa pale samaki samaki akaja jamaa akakaa jirani yake amevaa na kitambulishi shingoni kinasomeka kitambulisho cha moja ya maduka makubwa ya simu pale mlimani city
Jamaa kila dakika anajifanya kupiga simu na kuuliza upo wapi sasa simu mi nishatoka nayo hapa fanya fasta uje kuichukua kama unachelewa mi natafuta mteja nauza ninashida na mwenzangu ndani anataka mgao wake fasta na blah blah miiingi

Baada ya muda akajifanya kama kamaind anayempigia simu kawambia kakosa hela
Then akainuka akamfuata jamaa yangu akamwambia brother samahani bana mi nafanya kazi duka fulani, jamaa yangu aliniambia anataka iphone 6 ya mazabe nimemtolea anasema hana hela na mwenzangu ndani anashida anataka hela haraka, kama una laki nane fasta lete nikuachie, jamaa kwa mazingira aliyokua ametengenezewa na yule tapeli akajaa akamshusha hadi laki tano, akaenda kwenye atm fasta akatoa akamlipa jamaa akasepa
Balaa alipofika home, kitu mchina anatumia android
Ni noma kidogo alie
 
mim ilikuwa ivi, nilikutana na i phone 4 ikiwa ndan ya boksi mpyaa inauzwa lak 2 na 50 na bahant nzur nilikuwa nayo nkaikagua pale kwa mbwembwe nkalipa haraka harak nkasepa ....kufika home kuangalia internal memory kitu kna soma kb .qwality ya kioon n kama kna maziwa iv sio bkack nkiingia fb kitu chafu nkienda kweny net naambie memory not enough nilichoka.hela ikawa imeenda ivo.
wapo weng wamekamatika sana.
haya ni mamb ya kuangalia kabla ya kuchukua simu mpya
1.internal memory
2.qwality ya camera
3.Unapo washa copy hulet jina jngine mfano kama simu n htc ama sumsung itakuandkia androil,ama jina la ajbu ajbu t
4.huwa na vioo vye qwality ndogo
ZINGINE WENYE UJUZI WATAONGEZEA kulingana na uzoefu wa aina ya simu
CHIEF MKWAWA mkuu tupe elimu juu ya hilo
 
Last edited by a moderator:
Jamaa yangu akiwa pale samaki samaki akaja jamaa akakaa jirani yake amevaa na kitambulishi shingoni kinasomeka kitambulisho cha moja ya maduka makubwa ya simu pale mlimani city
Jamaa kila dakika anajifanya kupiga simu na kuuliza upo wapi sasa simu mi nishatoka nayo hapa fanya fasta uje kuichukua kama unachelewa mi natafuta mteja nauza ninashida na mwenzangu ndani anataka mgao wake fasta na blah blah miiingi

Baada ya muda akajifanya kama kamaind anayempigia simu kawambia kakosa hela
Then akainuka akamfuata jamaa yangu akamwambia brother samahani bana mi nafanya kazi duka fulani, jamaa yangu aliniambia anataka iphone 6 ya mazabe nimemtolea anasema hana hela na mwenzangu ndani anashida anataka hela haraka, kama una laki nane fasta lete nikuachie, jamaa kwa mazingira aliyokua ametengenezewa na yule tapeli akajaa akamshusha hadi laki tano, akaenda kwenye atm fasta akatoa akamlipa jamaa akasepa
Balaa alipofika home, kitu mchina anatumia android
Ni noma kidogo alie

Angeliatu aisee si yuko ndani hamwoni mtu.
 
Hii kiboko. Nadhani jamaa alisomea utapeli
 
Back
Top Bottom