Walio somea muhimbili kuna Coz ya C.O

muro121

Member
Nov 24, 2016
62
50
walio soma muhimbili kama coz hiyo inapatikana vipi , gharama zao , kwa mwaka, na endapo physics una D " PCB" waweza kusoma coz hiyo huku uki resit somo?
 
walio soma muhimbili kama coz hiyo inapatikana vipi , gharama zao , kwa mwaka, na endapo physics una D " PCB" waweza kusoma coz hiyo huku uki resit somo?

Course inaitwa clinical medicine,

Officer maana yake nini?
 
Clinical Officer maana yake ni Daktari msaidizi ila huyu anakuwa anafanya kazi katika vituo vya afya, hasa vya vijijini, hii kozi ili anzishwa kwa sababu tu ya upungufu wa madktari ,
 
Muhimbili Hakuna CO ndugu pale Kuna MD , kama unataka kusoma co nenda kibaha college, mafinga clinical Officer , hivyo navyojua vinatoa Co kama unataka kusoma mkuu
 
Back
Top Bottom